Ivi Leo Hawa jamaa vp?
Arsenal 4 liverpl 0
dk ya 37
mpra unaendlea
Niko na Mshabiki wa Arsenal anakataa kulipa bill ya bia alizokunywa lakini tunampa matumaini kua hayo magoli yatarudi na anatullia! More Updates coming!
Leo Liva inakula tatu moja tu tunasonga mbele.
Duh!! Sasa sijui niamini lipi, inamaana Magoli ya Liverpool yamefutwa na Arsenal wanaongoza magoli 4 kwa 0?Arsenal 4 liverpl 0
dk ya 37
mpra unaendlea
Hakika Arsenal atashinda, 2-1
Kuna njama nini?
Sitaki kuamini updates za JF ngoja niende mwenyewe kwenye Luninga
kuangalia.
Leo Liva inakula tatu moja tu tunasonga mbele.