Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Tumepigwa moja tayari
tulieni dawa iwaingie vizuri
Tumepigwa moja tayari
Yanga 5_0 comoro
Ivi Leo Hawa jamaa vp?
leo ni leo wakulu! Arsenal atabaki kileleni?
Updates#
liverpool. 5 arsenal 1
skrtel 1 dkk1.
Skrtel 2.dkk 10.
Starling 3 dkk 16.
Sturridge 4 dkk 19.
Starling 5 dkk 52.
Arteta 1 dkk 68
gobore bila jua ndg mwizi hata akija na wembe anajibebea kila kitu anachotaka.
Bado gunners wanaongoza league
Msamehe bure,alikuwa hajapata matokeo ya Edin Hazard bado.Wanaongoza ligi ya wapi broda?
Nafsi? inahusikaje hapa? Mkuu wewe ni mpenzi wa mpira? Mpira ni mapenzi ,kila mpenzi anataka kushinda, kushinda na kushindwa ni matokeo ya ushindani.Bila shaka nafsi inakusuta hahahaaaa