Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,567
Hakika Arsenal atashinda, 2-1
Bila shaka nafsi inakusuta hahahaaaa
Hakika Arsenal atashinda, 2-1
Arsenala kama kawaida ushindi ni jadi yetu.
pambaff sana ndani ya dk20 mmegongwa 4-0 eti ndo viongozi wa ligi mna akili kweli nyie?
Tunavyoongea ameshalipa bill yake na ameingia mitini sasa hivi ni Half time - Liverpool 4 - Asernal 0Mkuu Mlipie Tu Huyo Atawatoroka Sidhani Atakaa Mpaka Game Iiishe, Atakufa Kwa Presha
Leo tunawapiga kwenu Liverpool u fool.....wachezaji wapo wanjani sasa
Na mshinde tu!
Nitarudi hapa saa 10 jioni. But liverpool watapata ushindi. Ukiniuza ngapi, jibu ni 1-0.
Duh!! Sasa sijui niamini lipi, inamaana Magoli ya Liverpool yamefutwa na Arsenal wanaongoza magoli 4 kwa 0?
Nimeanza kukosa Imani JF.
Pole mkuu
ngoja chelsea tumpige newcaster tupande pale juu
Leo ni leo wakulu! Arsenal atabaki kileleni?