Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tapeli kapewa rungu
 
wakati City anagawa dozi tunaiona kabisa kuna binadamu wanasema ni ujanja ujanja yaani anfield liver anapigwa pipe 3 Kisha tunasema wanyang'anywe ubingwa tuko serious kweli? Yaani mgoli wa doku ,haland ni uongo uongo 🀣🀣pia goli la kumtoa kuku bandani la Ryan eti ni uongo mambo ya ajabu haya🀣🀣🀣
 
Sema doku magoli ya namna hiyo ni kama kila akiingia mazoezini anajifunza maana imekuwa ndio kama style yake ya ufungaji
 
Jamaa wameingia mabango yao sijui wameyatupa wapi!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilikuwa sijui kama Wazungu nao wanao wivu,vitu vilifanyika miaka 8 iliyopita heti ndio Sasahivi wanabeba mabango yakuomba makombe, wakati city walikuwa wakigawa dozi hadharani kweupe,namsubiri Carragar hatasemaje.
 
utasikia washushwe daraja na wanyang'anywe makombe kama Juventus 🀣🀣🀣utafikiri City walikuwa wanapanga matokeo wambamize liver ,Chelsea ,arsenal na utd ,tuimarishe team zetu hawa warabu sio wanyonge wawaulize UEFA walipelekwa CAS na maisha yakaendelea
 
Kuna maneno alisema Pep "there is no friends or enemies, it's just an interest "

Ndio nachokiona sasa hivi, kwaku watu wa Arsenal wanajua hata city akinmvuliwa ubingwa na kupewa walioshika nafasi ya pili, wao hawatakuwa wanufaika so wao wanataka City ishushwe daraja maana ndio kizuizi kikubwa kwao kwenye kutwaa ubingwa.

Watu wa Liverpool na Man united wanaona sasa hivi hawana ubingwa kwahiyo wanataka yale makombe ya nyuma ili kuongeza idadi ya vikombe.

Timu zingine ndogo wanatakwa wakatwe point pamoja na faini
 
Ligi ipo wazi yoyote anaweza kuchukua maana hata huyo Arsenal hayupo kwenye u Bora
 
Sio tu kufungwa mechi 1 kwa namna wanavyocheza Sasa naona Kuna mechi watazipoteza
Ni matokeo ya kujifanya Real Madrid sokoni ndio matokeo yake hapa yaani pale tu usajili wa Florian na Izak ulivyokwenda kusini ndio FSG wangestuka na warejee to the basics yetu sokoni ambayo ni buy raw talent mix na elite talent you have a complete squad.... buying raw ni kama akina Mane, Robbo,Gini, Fabby nk mix na elite ni Allison, VVD, Sobo nk nk yaani Hapo unakua na kikosi kipana na imara...

Mpaka pale watajirekebisha sokoni tutegemee mateso kwa sasa.


YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…