Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wirtz hamna la maana analofanya hakupaswa hata kumaliza first half.
Huyu fara kaanza vipi na VVD, KONATE, FRIMPONG, KERKEZ, GOMEZ kwa wakati mmoja?Huyu kocha bora hata Matola
 
Wanetu hamuwezi hata kupiga pasi tatu mnanyang'anywa mpira
 
Team inakuja na game plan ya kujilinda ikitegemea quickly attack na set pieces
Hamna build up
Hamna ontarget
Hamna offensive pass
Hamna format maalum ya team
Yaani wachezaji wanakimbia kimbia tu, kikosi kizuri lakini coach anategemea matokeo anfield away ameingia na akili ya kufungwa ila zisiwe nyingi, ndio ninachokiona kwenye hii game
Ameanza na beki asili watano blocking Midfield watatu unategemea nini sasa
Yani team icheze 3 5 2 mbele una Ekitike na wirtz, winger in nature hamna kibsa hii game na Salah unamuacha nje wakati ndio wing inapiga cross na offensive pass

Huyu coach jau sana kmmk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…