Swala la kumrudisha teenager kutoka kwenye mkopo eti ndo aje kuwa ''suarez'' ni kumchosha tu Ibe. BR kafanya blunder kwenye summer transfer window kama alikuwa na shida na striker kama back ni bora angemrudisha aspas kuliko kumleta lambert na kwenye beki kwa game nilizo muona tiago illori alizocheza spain (grenada) he is far better than lovren,sakho,toure na skrtel funny enough he was loaned to bordeaux where he has just played only 4 games.
Kwasasa timu inahitaji striker mwenye pace and can hold the ball upfront waiting for support from his team mates, i was thinking these two guys would have been good addition (jackson martinez or Luiz adriano wa shankhter) ila we are being linked na jermaine defoe(lambert v.2)
Halafu hizi ngojera zake kuwa hakuna striker sokoni hatutaki hakuna timu inamuweka mchezaji sokoni kama anaperform vizuri kama vipi tuendelee hivi hivi na kina balo na lord lambert mpaka msimu unaisha
kwa issue ya gerrard(thanks for the memories, that header 2005 and those two beautiful goals in 2006) mi naona its a high time for him stay aside mi ningependa astaafu soka akiwa liverpool ila kaamua mwenye kwenda kwingine(japo maneno yake yanaonyesha ni kutokukubaliana na BR na owners) ndo wakati wa kutengeneza timu kwenye defensive midfield akae Emre Can/Lucas na Henderson
Links za hizo Clubs..
Ssa mbna alonso ndie bora aliekamilika kuliko sg na mbaka kwenye acount y tweet y sg kasema alonso ndie pass master wake
| GK | 1 |
| ||
| RB | 6 |
| ||
| CB | 12 |
| ||
| CB | 2 |
|
| |
| LB | 23 |
| ||
| RM | 21 |
| ||
| CM | 16 |
| ||
| CM | 17 |
| ||
| LM | 13 |
| ||
| CF | 8 |
|
| |
| CF | 10 |
|
| |
| GK | 19 |
| ||
| DF | 27 |
| ||
| DF | 29 |
| ||
| MF | 7 |
|
| |
| MF | 15 |
|
| |
| MF | 20 |
| ||
| FW | 9 |
|
| |
Ssa mbna alonso ndie bora aliekamilika kuliko sg na mbaka kwenye acount y tweet y sg kasema alonso ndie pass master wake
Fainali ya 2007 Gerrard alifunga goli ?Absolute nawaza sasa hawa akina Nzi hawakumuona SG kuanzia mwaka 200-2009!Wameanza kumuona nahisi kaisha ingia 30!Ilikuwa kila uhamisho ukikaribia Liverpool inakataa offer kibao!Nani alihangaika kuja kwa Scholes?
Kweli Carrick ambaye hata ku make national team WC na Euro alishindwa umfananishe na SG ambaye kuumia kwake 2006 na kukosa WC Waingereza walichanganykwa?
Wameanza kumuona SG kazeeka tayari hawa!He was the man of big match;HAMNA SIKU KOMBE LIPO UWANJANI ALISHINDWA KUFUNGA!Rekodi hii sijui itavunjwa lini na nani!!
Fainali ya 2007 Gerrard alifunga goli ?
Nimeshakueleza streghth aliyokuwa nayo Gerrard ni kuwaongoza na ku-motivate wachezaji wenzake.Hii issue wengi wanakuwa blinded na ushabiki.Nakumbuka even fainal ya Instanbul Benitez alicheza blunder kumuweka bench Didi Hamman Liverpool ilikufa kabisa katikati Milan wakafunga goli 3 haraka Rafa aligundua mistake second half akamuingiza Hamman akabadilisha kabisa game ndio akamfanye Gerrard awe free goli zikarudi
Sijajua kwa nn Mignolet HAKUUKAMATA mpira ule
1-1
Sijajua kwa nn Mignolet HAKUUKAMATA mpira ule
1-1
bado tunaendelea kuwekewa Lambert mbele kule..