Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku ya leo imevurugika kabisa kutokana na hii habari! Mara zote washambuliaji wetu walipokuwa wakikosa magoli nilikuwa nikitamani Jota aingie. Anyway-Thank you, Diogo. #YNWA
 
Hii taarifa imenitonesha jeraha ambalo bado bichi, kwani hata mimi ni miezi miwili tu iliyopita niliondokewa na mama yangu mzazi.

Inauma sana kwakweli
Pole sana Rafiki, nina mwezi mmoja rafiki yangu, jirani yangu na shabiki mkubwa wa Man Utd aliondoka maumivu yake usipime, Kuondoka kwa Jota kumenitonesha kidonda tena dah
 
Jota alikuwa njiani kurudi Liverpool akitokea Ureno (Porto). Safari hii hujumuisha kusafiri kwa barabara kutoka Ureno kisha kuvuka mpaka kuingia Spain mpaka katika mji wa Santander ulioko pwani ya Kaskazini ya Spain.

Hapo ndio huchukua Ferry kutoka Santander (Spain) mpaka Plymouth au Portsmouth (UK) safari ya takribani masaa 28 mpaka 32. Baada ya kufika Plymouth au Portsmouth ndipo angemalizia tena safari kwa kuendesha mpaka Liverpool.

Kutokana na upasuaji mdogo aliokuwa amefanyiwa siku za karibuni madaktari wakamshauri asipande ndege, hata safari yake ya kutoka Liverpool kwenda Porto kwenye harusi alitumia route hiyo ya gari na ferry.


Hiyo ndio route aliyokuwa anasafiri Jota na mdogo wake kutoka Porto kwenda Santender. Eneo penye dot nyekundu ndipo ulipo mji wa Zamora baada tu ya kuvuka mpaka kutoka Ureno kuingia Spai na eneo hili ndio ajali ilipotokea.


Na hii ndio route ya ferry kutoka Santender mpaka UK.

Jota alikuwa akirudi kujiunga na wenzake kwaajili ya ratiba ya pre season ambayo inatarajiwa kuanza Jumatatu ijayo.

R.I.P Jota the slotter.

Chalii.
 
Diogo Jota and his brother André are the only children of their parents, Joaquim Silva and Isabel Silva. There is no other sibling. And yes, both parents are still alive and vibrant. Just not in the public eye; very humble people who prefer to cheer and support their footballer sons from the shadows. They are natives of Gondomar, a small city on the outskirts of Porto.

Today, Joaquim and Isabel face a pain that has no comfort. They have lost both their sons in a single night. Two brothers who lived together, grew up playing football together, and left together.
 
Uwiii😭😭😭😭💔
 
Bora angepanda tu ndege jota wetu jamank. What a loss 🙌🏿💔💔
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…