🤣🤣🤣Nyie haya Alvarez bei imesimamia kucha ni £85m na El Cholo anamkumbali dogo kinoma kwa namna Hali ilivyo sokoni labda tuwape Robbo🫣🫣na Nunez🤔🤔 aafu tumchukue Alvarez😆😆😆wishes haha noma sanaaa.Liverpool’s Dynamic Duo under Slot in 2025–26
Arne Slot’s management leans on 4‑2‑3‑1 or 4‑3‑3 formations, high pressure (top-10 leagues), structured positional rotation, and rapid transition play.
His full-backs engage in build-up, while central pivots cover space. The system thrives on forwards who press intelligently and midfielders who can create and recover—in other words, Wirtz and Álvarez are tailor-made for what Slot demands. #LFC
Heri ya Siku ya Kuzaliwa, Jürgen Klopp! 🎉 LEGENDHeri ya Siku ya Kuzaliwa, Jürgen Klopp! 🎉
Leo tunampongeza kocha pekee katika historia ya Liverpool aliyeweza kutwaa mataji yote makubwa ya ndani na kimataifa akiwa Anfield. 🏟️ Mwalimu ambaye alileta matumaini, ushindi na historia mpya!
🏆 Premier League
🏆 UEFA Champions League
🏆 FA Cup
🏆🏆 EFL Cup (Carabao)
🏆 UEFA Super Cup
🏆 FIFA Club World Cup
🏆 Community Shield
Zaidi ya mataji, Klopp alitupatia:
🔴 Rekodi ya pointi nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu – 99 msimu wa 2019/20
🔴 Mfululizo bora zaidi wa ushindi – mechi 18 mfululizo kutoka Oktoba 2019 hadi Februari 2020
🔴 Ushindi mwingi zaidi na magoli mengi zaidi kwa msimu mmoja – michuano yote: mechi 63, ushindi 46, mabao 147 (msimu wa 2021/22)
Shukrani kwa kila kitu, Klopp. Heri ya siku ya kuzaliwa. Umekuwa zaidi ya kocha – umekuwa mkombozi wetu. 🥳❤️
#YNWA #HappyBirthdayKlopp #Legend
Fiorentona wanamchukua dzeko kama Mganga wa timu au Kocha?
Final five games were very bad for himView attachment 3372404
King Mo Salah numbers just epic 🔥🔥......
Pure hard work from the wizard...
YNWA
After wrapping the 20th EPL trophy it's like the fire in him went south...Final five games were very bad for him
He had a chance to hit 50