momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,052
- 2,175
Mnaweza kupata moment moja ikawapa matokeoDah, HAPANA HAPANA Liverpool inacheza kama timu ya Championship.
Wameingia mitini.Nyie warasi
Wepesi mno hawaWameingia mitini.
Kheee kumbeThe gono wanaumia sanaaa
Tunampiga 4 sasa kama hamuamini ngoja muone
Jitokeze sasaNaifatilia hii mechi
Ngap ngap sasaTumesha waweza hawa ha ha haaaa. Kocha wao anatikisa kicwa tu dah