Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tulikuwa tunamaliza nje ya Top 4 ila sasa msimu wa 3 mfululizo tunapambania ubingwa na tukiukosa tunakuwa wa pili.

Kwa sababu hatajakuwa mabingwa, basi watu hawataki kuona kama kuna hatua tumepiga.

Newcastle, Aston Villa na Nottingham Forest wakipiga hatua za hivi, wanaonekana wamesonga mbele na wanapongezwa.
 
Leicester city 2015/16 walichukua ubingwa sio kwakuwa walikuwa ni team bora kuliko Man City, Liverpool, Arsenal n.k ni kwasbabu ya kuanza kwa winning streaks na kumantain ile momentum. Winning mentality ikishakuwa instilled vichwani mwa wachezaji huwa hata team pinzani wanakuwa wanapata kiwewe mnajikuta mnashinda games easily.

So losing is not an option at all.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mentality, Mentality, Mentality
Siku zote hua tunasema Arsenyo kuanzia, uongozi, kocha, wachezaji mpaka mashabiki mna mentality za mid table team.
Arsenyo hua tunaichukulia ni miongoni mwa big team kwenye Epl, ila mashabiki wake bado wana mentality za mid table team ndio maana hua wanaona fahari kujifananisha na Newcastle, Aston Villa, Nottingham Forest n.k
Huwezi kuona shabiki yoyote wa Liverpool, Man Utd au Chelsea ambae atajifaharisha kwa sababu tu timu yake imeshika nafasi ya pili kwa miaka miwili au mitatu mfululizo pasi na kubeba kombe lolote.
Man Utd tulimtimua Ole Gunnar Solskjaer wakati timu imemaliza ligi nafasi ya pili.
 
Sababu arsenal kumaliza wa pili bado sio mafanikio bali amerudi nyuma.
 
Mkuu hongera sana umeandika vizuri uchambuzi wako kila mmoja ana mtizamo na ni vyema kila mmoja aheshimiwe maoni yake..sidhani kama yupo mtu anayependa timu yake iliyo moyoni ikapoteza ila tunasema vitu kutokana na experience tuliyopitia..kuhusu kusema timu ni afadhali ipoteze kuliko kudroo upo ushahidi city ameshatupita mara mbili na draw zetu nyingi akatwaa ubingwa japo yeye kafungwa mechi nyingi...mfano...
-------------'------ MAN CITY BINGWA 2018-19...
P w D L. Pts
1.Man city 38 32. 2. 4. 98
2.Liver. 38 30. 7. 1. 97

MAN CITY BINGWA 21-22
P W D L PTS
1.Man city 38. 29. 6. 3. 93
2.Liver. 38. 28. 8. 2. 92

Hii ni mifano tu sitaki uamini wala kusema wengine waamini hiki......
zumbemkuu
YWNA.......
 

Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…