Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Moja ya viungo bora ndani ya Premier league, Liverpool haukutunia pesa nyingi sana kupata saini ya vijana hawa

⚡️Mac Allister: £35m
⚡️Szoboszlai: £60m
⚡️ Gravenberch: £34m

£129m imetumika kuleta furaha kwa mashabiki, kuna team inatoa 100m kwa kiungo mmoja
 
If we fail to beat them maana yake we are not champions material. Hizo ndio mechi za kibingwa
 
Ndio maana hatukuwa mabingwa mara 2 kwa kupitwa point 1 sababu hatukuweza kushinda mechi za kibingwa kama hizo.

Mechi kama hizo city akiwa kwenye ubora wake anazishinda kwa namna yoyote ile
 

Kuna Manure kumnunua Anthony mwenye thamani ya €25M kwa €90M sasahivi anamtoa kwa mkopo
 
Everton washambuliwe kama nyuki watakaa yaani mechi hiyo inamfaa nunez awachoshe walegee kama mlenda then majistriker ya dunia yaanze kufungilia mafuriko aaah kudadeki hawawezi zuia mvua!
Moyes anaijua thamani sana ya Merseyside derby alikua kipindi kile cha kina Fellaini, Baines, Jagielka, Colman na wenzao wengine ambao wakisikia LFC ni next match wanajitoa muhanga kwa 100% mechi nzima.

Sasa amerejea kama kocha wao mkuu, Pickford anaielewa hii derby vyema. Bwana sikieni wale mahasimu wetu na hakuna wakati mzuri wa kuwaumiza kama wakati huu wapo kwenye mbio za ubingwa. Do or die tuwazuie, commitment yao hubadilika siku ya mechi.

Ngoja tuone mpaka tunakaribua kukutatana nao, afya ya kikosi itakuwaje. Tutegemee low block system ya maana huku wakisubiri counter to attack

Ynwa'
 

Na kibaya zaidi wana chuki ya mwaka 2006 ambayo haiwezi kuwatoka wataibeba milele na milele.

2005 tulishinda Kombe la UCL lakini kwenye Ligi tukashindwa kuingia Top Four tukashika nafasi ya 5. Everton ndiyo wakashika nafasi 4.

Ikumbukwe kipindi kile Sheria za UEFA zilikuwa hazijafanyiwa marekebisho hivyo ilikuwa Timu za kushiriki mwisho ni 4 tu haziruhusiwi kushiriki timu 5.
Sasa Liverpool 2006 lazima ashiriki kama bingwa Mtetezi kwasababu kwenye Ligi hakuingia Top Four.
Hapo Sheria ikabidi Everton aliyeshika nafasi ya 4 akaenguliwa asishiriki UCL ili nafasi yake ashiriki Liverpool kama bingwa Mtetezi.

Ukawa uhasama mkubwa kwa Everton kuzidi kutuwekea chuki mpaka leo.

Hivyo game na wato watalazimisha kutuharibia lazima tujipange vizuri na tuwe makini.
 
Hawezi kutoka timu ndogo akahamia ndogo
Anataka timu za makombe kama Liverpool
Huyo akitaka progress aje kwetu, vinginevyo ataenda kupotea huko kwingine

Halafu uliikataa zawadi ya ile jersey niliyokwambia?

Fanya mpango kesho uipitie ukiwa Kabwe
 
Ratiba inayokuja ya mechi tano za Liverpool ni ngumu sana, hasa kwa michezo mitatu ya ugenini dhidi ya Bournemouth, Everton, na Manchester City. Pia, mechi za nyumbani dhidi ya Wolves na Newcastle si rahisi.

Kwa tathmini ya kawaida:

1. Bournemouth (Ugenini) – Liverpool wana nafasi ya kushinda, lakini Bournemouth ni timu yenye uwezo wa kusababisha matatizo. Ushindi wa Liverpool (3 pts).

2. Everton (Ugenini) – Derby ya Merseyside daima ni mechi ngumu, hasa ugenini. Sare inaweza kuwa matokeo ya kweli. Sare (1 pt).

3. Wolves (Nyumbani) – Liverpool wanapaswa kupata ushindi hapa kutokana na ubora wao. Ushindi wa Liverpool (3 pts).

4. Man City (Ugenini) – Hii ni mechi ngumu zaidi kwenye ratiba. Sare au ushindi itakuwa matokeo mazuri, l (1 au 3 pts).

5. Newcastle (Nyumbani) – Ingawa Newcastle ni timu yenye ushindani mkubwa, Liverpool wanaweza kushinda. Ushindi wa Liverpool (3 pts).

Jumla ya pointi zinazotarajiwa: 11 hadi 14 pts.

Je tunaweza pata alama zaidi ya 11 kwenye mechi hizi?
 
Nailed it
 
Jezi nipe mkuu
Nikupe lipa namba ya muuzaji
Ukiweza ninunulie hata 2
Yaani utakuwa umeupiga mwingi, arsenal jezi yenu unyama ni mwingi Mwaisa
Ni timu tu hainaga vikombe.
Huyo akitaka progress aje kwetu, vinginevyo ataenda kupotea huko kwingine

Halafu uliikataa zawadi ya ile jersey niliyokwambia?

Fanya mpango kesho uipitie ukiwa Kabwe
 
Na ni 100m hiyo hiyo Liverpool walitoa kumnasa huyo kiungo wakamkosa ,nimalize kusema kuna kitu kwenye huyo kiungo
 
Jezi nipe mkuu
Nikupe lipa namba ya muuzaji
Ukiweza ninunulie hata 2
Yaani utakuwa umeupiga mwingi, arsenal jezi yenu unyama ni mwingi Mwaisa
Ni timu tu hainaga vikombe.
Umejua kuipamba jersey yetu utasema umekuwa kweli shabiki wa Arsenal

Nitasubiri kuona ujumbe wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…