Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Race ya golden boot ndio tatizo la sivyo angekuwa anafanyiwa sub
 
Umeongea kwa uchungu sana mwaka huu hatutawapa nafasi mtusogelee kabisa
 
Tunahitaji upgrade ya Diaz next season.Tunahitaji one established Centre Back.Tunahitaji upgrade ya Robbo.Tunahitaji upgrade ya Nunez.Tunahitaji kuwabakiza Allison,Salah,Virgil na Trent wote kwa pamoja.

But only If we are a big club .....

Short of that basi tutahitaji upgrade ya FSG
 
And a defensive right back

Plus salah long term replacement
 
Sasa tupambane kushinda mechi tano zijazo zikiwemo ya Pep na Aterta Baada ya hapo tutakuwa na uhakika wa asilimia kubwa sana ya kunyanyua kwapa. Maana si kwa kupambana huko kusajili wachezaji hasa hasa yule prince wa Misri-Marmoush na Zubimendi, imeniuma sana kuishia njiani kuwafuata hawa
 

πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ Say the Name again Darwin Gabriel Nunez Ribeiro
.
Comes the hour cometh the man with a bag full of goodies 🀣🀣🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯pointi 3 safiii kabisa.

YNWA
 

Game vs Arsenal tutatoa sare based on past three seasons.

Arteta versus Liver huwa yupo ahead kwa hatua moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…