kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Ni rasmi sasa striker force asiye na bahati Darwin nunez nae yupo sokoni!Hapana sijapitia pitia huko duniani bado kuona kuna nini…
Ila ishu ya Trent tuwe realistic kidogo, yes he is a good player, scouser no. Zake as RB ni nzuri sana plus age yake. Hivi ukimpa Trent let say apewe £300k p/w au £350k p/w, uki renewe mkataba wa Diaz au Gakpo utampa ngapi?? Kama Trent anataka such amount je VVD utampa ngapi?? Szobo/Gravern/Jones/Macca. Trent kama anataka any more than £280k i will stand with Club over Trent. Akipokea more than £280k kuna wachezaji watakuja kuwaka na watasumbua sana ishu ya wages. Na Trent anachokitaka sidhani kama atawa command Madrid wampe.
Ngoja tuone kunaendaje, management itakuwa inasugua kichwa plus Slot, Kwa sasa Trent , Vvd, Salah wapo huru ku sign pre-contract with any Club.
Ikishindikana ni Slot ataulizwa mambo ya kiufundi anaonaje (though hana sauti na mamlaka makubwa).
Ila inaweza kumwaribia Slot, tuseme tumetoka 0 cups season hii, means Slot hatakuwa na say, but akibeba CL & EPL, CV itakuwa imewaka na ataweza kua na maamuzi japo sio ya moja kwa moja.
Wish them all to stay especially Trent, Madrid is not LFC kwamba watamvumilia la hasha hasa Don Perez na ataondoshwa kama atafanya one mistake itakayowakosesha kombe.
Happy New Year 2025…
Ynwa’
Ni rasmi sasa striker force asiye na bahati Darwin nunez nae yupo sokoni!
Heri ya mwaka mpya 2025 mashabiki wote wa Liverpool
Hongereni kwa kuvuka mwaka,
2025 ni mwaka wetu kunyanyua EPL na vikombw vingine vyote
Baraka za Mungu zikaambatane na kila mmoja wetu na nawatakia kila lenye kheri.
YNWA
Hivi mwanzilishi wa huu uzi Mbu yupo wapi?
Chambuzi ebu niambie, Kwani Amorim ndiye mbaya au timu aliyoikuta ndiyo mbaya?Dah! Kila nikikumbuka Watu walitaka tuletewe Amorim [emoji848]
VyoteChambuzi ebu niambie, Kwani Amorim ndiye mbaya au timu aliyoikuta ndiyo mbaya?
Amorim ni kocha mzuri, inawezekana ana structural/ systematic flaws lkn kwa umri wake sio wa kumkatia tamaa, at times as a coach ukiwa under pressure all you care is to win, kitu ambacho kinapelekea ku-twist some of your underpinning principles, kwa sisi watu wa mpira tunaamini coaching is the learning curve, hata Arne slot alikuwa ana shida kwenye high pressing structure lkn as the days go unaona kabisa OOP structure ina improve, naamini pia Amorim with the right environment ana kitu cha kuonesha. Watu wa Liverpool mnachukia jamaa cuz he rejected you.Vyote
BTW mimi ni shabiki wa Arsenal, i hate Man united and im so happy when they lose.Amorim ni kocha mzuri, inawezekana ana structural/ systematic flaws lkn kwa umri wake sio wa kumkatia tamaa, at times as a coach ukiwa under pressure all you care is to win, kitu ambacho kinapelekea ku-twist some of your underpinning principles, kwa sisi watu wa mpira tunaamini coaching is the learning curve, hata Arne slot alikuwa ana shida kwenye high pressing structure lkn as the days go unaona kabisa OOP structure ina improve, naamini pia Amorim with the right environment ana kitu cha kuonesha. Watu wa Liverpool mnachukia jamaa cuz he rejected you.
HatumchukiiAmorim ni kocha mzuri, inawezekana ana structural/ systematic flaws lkn kwa umri wake sio wa kumkatia tamaa, at times as a coach ukiwa under pressure all you care is to win, kitu ambacho kinapelekea ku-twist some of your underpinning principles, kwa sisi watu wa mpira tunaamini coaching is the learning curve, hata Arne slot alikuwa ana shida kwenye high pressing structure lkn as the days go unaona kabisa OOP structure ina improve, naamini pia Amorim with the right environment ana kitu cha kuonesha. Watu wa Liverpool mnachukia jamaa cuz he rejected you.
MosDef Mkuu shukrani naona ume react comment yangu.
Vipi kuhusu saga la Trent na real Madrid, mikataba ya Salah na Vigil?
Kuhusu usajili hasa upande wa Roberstbn, LCB na DM kuna habari zozote kutoka hapo LFC?
Unaongea kama siyo mtu wa mpira.Dah! Kila nikikumbuka Watu walitaka tuletewe Amorim 🤔
Hapana sijapitia pitia huko duniani bado kuona kuna nini…
Ila ishu ya Trent tuwe realistic kidogo, yes he is a good player, scouser no. Zake as RB ni nzuri sana plus age yake. Hivi ukimpa Trent let say apewe £300k p/w au £350k p/w, uki renewe mkataba wa Diaz au Gakpo utampa ngapi?? Kama Trent anataka such amount je VVD utampa ngapi?? Szobo/Gravern/Jones/Macca. Trent kama anataka any more than £280k i will stand with Club over Trent. Akipokea more than £280k kuna wachezaji watakuja kuwaka na watasumbua sana ishu ya wages. Na Trent anachokitaka sidhani kama atawa command Madrid wampe.
Ngoja tuone kunaendaje, management itakuwa inasugua kichwa plus Slot, Kwa sasa Trent , Vvd, Salah wapo huru ku sign pre-contract with any Club.
Ikishindikana ni Slot ataulizwa mambo ya kiufundi anaonaje (though hana sauti na mamlaka makubwa).
Ila inaweza kumwaribia Slot, tuseme tumetoka 0 cups season hii, means Slot hatakuwa na say, but akibeba CL & EPL, CV itakuwa imewaka na ataweza kua na maamuzi japo sio ya moja kwa moja.
Wish them all to stay especially Trent, Madrid is not LFC kwamba watamvumilia la hasha hasa Don Perez na ataondoshwa kama atafanya one mistake itakayowakosesha kombe.
Happy New Year 2025…
Ynwa’
MosDef Asante kwa taarifa Mkuu hivi ni kweli ...Michael edwards Ana uhuru wa kufanya kazi yake haswa kwenye hizi issue za mikataba? And if not kwanini alikubali tena kurudi Liverpool to work with the same owners? Au na yeye anatekeleza falsafa zao