Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool head coach Arne Slot has said that Darwin Núñez's attitude is positive and that he wants to work:

✅Attitude: "The first thing, and the most important thing, is that his attitude is right and he wants to work".

✅Pressure: Slot's concern is that Núñez is putting too much pressure on himself.

✅Support: Slot believes that Núñez wants to score goals for himself and for the fans who support him.

✅Potential: Slot sees a lot of room for improvement in Núñez's potential.

✅Work-rate: Slot judges Núñez on his work-rate, which he says has been positive.

✅Qualities: Slot believes in Núñez's qualities and expects him to come good.
 
Maneno hayo sio mageni kwenye football

Hata klopp aliyasema kama hayo 2018 baada ya karius kufanya yake
 

Chelsea anaweza kushangaza wengi iwapo kipindi hiki cha Dec-Jan hatutakipita salama.

Narudia tena iwapo tutapita salama kwenye hiki kipindi cha Dec-Jan basi sisi ni mabingwa.

Kwasasa ubingwa upo kwenye mikono ya Timu 3 tu 👇

1. LiverpoolFC
2. Chelsea
3. Arsenal

Kitu pekee tunachopaswa kufanya ni kupita salama kwenye hiki kipindi cha Dec-Jan na si zaidi ya hapo.
 
Nunez ni mzigo
Mwaka wa 3 huu yeye ni kukosa tu magoli
 
Chelsea hawa ni balaa
 
Uko sahihi mkuu,kipindi hicho ndio wachezaji wetu wengi wanakuwa majeruhi na wamechoka hivi.
 
Wale wa kuweka beti nwanzo wa msimu nani atakua bingwa hakika wengi walimpa Manchester City na hii hali yako naona washapigika sanaa.

YNWA
Still bado ni Manchester City, mpaka pale hesabu zitakapogoma kabisa ndio na mimi nitawatoa kwenye mbio, usijeshangaa wakashika nafasi ya pili ama kuwa mabingwa kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…