Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,276
mwamba umeandika mambo mengi mnooKama timu yako haitumii pesa mungeweza kununua
VVD -85million
Allison- 75 million moste expensive goalkeeper
Nunez mmetoa -100million
Jota ,gapko ,Diaz ,....Hao wote mmetoa kuanzia 50million + ....
Hakuna club inayoendeshwa Kwa fanbase ,hizo gate collection haziwezi nunua hata wachezaji wawili WA Liverpool..
Saizi Ni modern football,kama mnaendelea kuishi maisha ya miaka 90 ndio maana mpaka sasa mna 1PL ,,,yaani toka 1992 mmekuja kuchukua pl mwaka 2020 [emoji23]....
Zunguka mtaani kama utapata shabiki WA Liverpool,hii Ni timu ya zamani before Jesus Christ , ndio maana makombe yenu mengi Ni ya miaka 1880 ,means hata wewe utakuwa Babu WA miaka 80+ unless otherwise nambie Ni Kwa nin umeanza kushanikia Liverpool team ambayo Ni mid table team toka 1996 nazaliwa mpaka 2020 mnachukua PL ndio maana mnamashabiki ulaya Tena wazee ,hauwezi Kuta mashabiki WA Liverpool hii Africa kama unabisha leta stats ....it's either Arsenal ,cheslea ,man U au city ,, Liverpool utakutana na wazee huko kwenye kahawa na penyewe haifuatilii Tena maana ishakufa kitambo ,Klopp ndio kaifufua ...
Hio man utd unayosema imekuwa ikipigana kuleta waarabu ,this is modern football more investment,sio mpira WA Giza WA miaka 1700 huko mlizokuwa mnashinda mataji Bila FFP,Goal line technology,VAR ,social media to expose robbed team ...
Liverpool yenyewe inatamani waarabu ,kama huamin subiri Klopp anaondoka na Salah anaondoka ,you aree going to be stock city bro I promise ....
Kama unafikili mpira Ni oyaaa oyaaa za mashabiki ,sijui fanbase keep watching...
Hio Arsenal yenyewe wameinvest heavy ..
United wanatumia billion of money kuzidi hata city ..
Nyie Liverpool mnaificha kwenye kivuli ati hamtumi pesa what fu***K mnanunua hadi wachezaji WA 100m mnasema hamtumii pesa ...
Nikiisema utaje kikosi cha city chote na pesa iliyotumika kununua Hao wachezaji my friend utaumbuka bure ndio maana hata PL hawajui la kufanya mpaka sasa ,ndio maana Everton , Nottingham Forest waliadhibiwa mapema kabisa ushahidi ulimwagika wakapunguzwa point ila Kwa city ,mpaka sasa hawajui kosa liko wapi hesabu kwenye vitabu zote ziko sawa ila haters kama huyu boya huku jf analopoka kama Kakalia dushe tumebreach FFP ,kama pL wanajiamin wangeshatoa adhabu mapema kama walivotoa Kwa Everton ndani ya siku 5 tu .....
Ake ,akanji ,Dias ,stone ,Haaland ,doku ,ederson ,bernado Silva, Foden ...Hao wote Hakuna aliyenunuliwa Kwa 70m Ni 65m kwenda chini .....very average player kabisa [emoji23] hapo ukitoa Haaland wengine wote Ni WA kawaida ...pep system inawabeba ...but MTU unakuta anasema city anatumia pesa .....
Real Madrid ambayo ndio club kubwa Dunia inatumia pesa kuzid team zote ,lakin Hakuna anayesema oil money ,wako wanaweka 250m kumchukua mbappe Hakuna anayesema ,lakin ingekuwa city ungesikia oil money [emoji23]...
Nyie endeleeni kuishi maisha ya 1800 huko ambapo team zilikuwa haitumii pesa muone kama hamjashuka daraja ,kuwa masikin sio sifa [emoji23],yaani kusema wewe hutumii pesa sio sifa Mzee amka ,top tema zote zinatumia pesa Tena kubwa Sana .,..
Huyo Klopp kaamua kukimbia joto la pep sio kwamba kakosa pesa ,mbinu Hana ,....
Kama Klopp ana mbinu ,atafute club yenye pesa wampe then tumuone " he is running out of energy,mbinu zimeisha mbele ya pep " .......
Am dropping the mike ....
Team la zamani huko hata yesu hajazaliwa,mnakuja kutamba mbele ya watoto WA mjini city boys ,kitawalamba ..
Szobo akiwa fitπ€£ π€£ π€£ Karata dume I like that... Huyu dogo ni fearless hana uoga hata kiduchu na hili limempa platform ya kucheza hizi levo...
Kesho karata zetu ni progressive double pivot ya Endo na Macca huku wakimpa Domy free pass to roam...
YNWA
Tunawatakia Kila la heri kesho...mwenye nguvu ashindeSzobo akiwa fit
Salah atashine
ahsanteTunawatakia Kila la heri kesho...mwenye nguvu ashinde
Natumai itakua mawazi tu ila hawezi kuongeza mudaBREAKING NEWS: coming live from Fabrizio Romano, " I have an amazing team (smiles) honestly this team has made to start having a rethink about the future whenever I watch them play i feel like its not yet time to leave". JΓΌrgen Klopp has hinted that he may rethink his decision to leave Liverpool, after an "inspiring" team performance against Sparta Prague. The Reds boss had been expected to leave Anfield at the end of the season, but he may now be tempted to stay on after seeing his team's potential. Klopp praised his players for their "total commitment" and said that they had "proved that they can compete" with the best teams in Europe. This could be a huge. JΓΌrgen Klopp Hints at U-Turn on Future After 'Inspiring' Liverpool Team Performance - 'We've Proved We Can Compete".
This news has gotten the Liverpool fans delighted. Klopp please stay we need youβ€οΈππ
FULL STORY:
BREAKING NEWS: coming live from Fabrizio Romano, " I have an amazing team (smiles) honestly this team has made to start having a rethink about the future whenever I watch them play i feel like its not yet time to leave". JΓΌrgen Klopp has hinted that
Jurgen Klopp remains steadfast in his belief that Darwin Nunezβs promising journey with Liverpool is far from reaching its peak. The striker showcased his prowess by netting a brace to propel the Reds to a resounding 5-1 victory over Sparta Prague, a result that significantly advances...footballwave.com.ng
Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianzeπ€£ π€£ π€£ Karata dume I like that... Huyu dogo ni fearless hana uoga hata kiduchu na hili limempa platform ya kucheza hizi levo...
Kesho karata zetu ni progressive double pivot ya Endo na Macca huku wakimpa Domy free pass to roam...
YNWA
Kipara ni mvumilivu sana aisee hii ndio kete yake kuu pasi zitapigika kushoto kulia nyuma kati mpaka wapate upenyo cha kufanya kwetu ni kuhakikisha channel zipo covered, kutopoteza mpira hovyo, 1st break kwa kua kipara ni muumini wa high line defence na kuhakikisa Foden hapati kutembea na mpira around 18 area,.. Ni ngumu sana kuwazima Citizens lakini lazima tujaribu kucheza mpira wetu... Hatupo vizuri sana defence maana kila mechi tumeruhusu goli hivyo ni kua compact kutoruhus magoli mengi...Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianze
Natamani awepo mtu wakumnyima Raha Rodri
Szobo hua ni Mr tackling, mr tracking sasa ule upande akicheza na Bradley na Salah basi Kipara ataumia aisee...Szobo akiwa fit
Salah atashine
na iwe hivyoSzobo hua ni Mr tackling, mr tracking sasa ule upande akicheza na Bradley na Salah basi Kipara ataumia aisee...
YNWA
Ni leo ndugu hopefully vijana wako salama kabisa hakuna jeraha jipya kwa kikosi baada ya mechi ya Europana iwe hivyo
Kmmmmk, yaani Pain Killer wewe ni wa 1996? Daah, kumbe nilikuwa naheshimu katoto kakuzaa,Kama timu yako haitumii pesa mungeweza kununua
VVD -85million
Allison- 75 million moste expensive goalkeeper
Nunez mmetoa -100million
Jota ,gapko ,Diaz ,....Hao wote mmetoa kuanzia 50million + ....
Hakuna club inayoendeshwa Kwa fanbase ,hizo gate collection haziwezi nunua hata wachezaji wawili WA Liverpool..
Saizi Ni modern football,kama mnaendelea kuishi maisha ya miaka 90 ndio maana mpaka sasa mna 1PL ,,,yaani toka 1992 mmekuja kuchukua pl mwaka 2020 [emoji23]....
Zunguka mtaani kama utapata shabiki WA Liverpool,hii Ni timu ya zamani before Jesus Christ , ndio maana makombe yenu mengi Ni ya miaka 1880 ,means hata wewe utakuwa Babu WA miaka 80+ unless otherwise nambie Ni Kwa nin umeanza kushanikia Liverpool team ambayo Ni mid table team toka 1996 nazaliwa mpaka 2020 mnachukua PL ndio maana mnamashabiki ulaya Tena wazee ,hauwezi Kuta mashabiki WA Liverpool hii Africa kama unabisha leta stats ....it's either Arsenal ,cheslea ,man U au city ,, Liverpool utakutana na wazee huko kwenye kahawa na penyewe haifuatilii Tena maana ishakufa kitambo ,Klopp ndio kaifufua ...
Hio man utd unayosema imekuwa ikipigana kuleta waarabu ,this is modern football more investment,sio mpira WA Giza WA miaka 1700 huko mlizokuwa mnashinda mataji Bila FFP,Goal line technology,VAR ,social media to expose robbed team ...
Liverpool yenyewe inatamani waarabu ,kama huamin subiri Klopp anaondoka na Salah anaondoka ,you aree going to be stock city bro I promise ....
Kama unafikili mpira Ni oyaaa oyaaa za mashabiki ,sijui fanbase keep watching...
Hio Arsenal yenyewe wameinvest heavy ..
United wanatumia billion of money kuzidi hata city ..
Nyie Liverpool mnaificha kwenye kivuli ati hamtumi pesa what fu***K mnanunua hadi wachezaji WA 100m mnasema hamtumii pesa ...
Nikiisema utaje kikosi cha city chote na pesa iliyotumika kununua Hao wachezaji my friend utaumbuka bure ndio maana hata PL hawajui la kufanya mpaka sasa ,ndio maana Everton , Nottingham Forest waliadhibiwa mapema kabisa ushahidi ulimwagika wakapunguzwa point ila Kwa city ,mpaka sasa hawajui kosa liko wapi hesabu kwenye vitabu zote ziko sawa ila haters kama huyu boya huku jf analopoka kama Kakalia dushe tumebreach FFP ,kama pL wanajiamin wangeshatoa adhabu mapema kama walivotoa Kwa Everton ndani ya siku 5 tu .....
Ake ,akanji ,Dias ,stone ,Haaland ,doku ,ederson ,bernado Silva, Foden ...Hao wote Hakuna aliyenunuliwa Kwa 70m Ni 65m kwenda chini .....very average player kabisa [emoji23] hapo ukitoa Haaland wengine wote Ni WA kawaida ...pep system inawabeba ...but MTU unakuta anasema city anatumia pesa .....
Real Madrid ambayo ndio club kubwa Dunia inatumia pesa kuzid team zote ,lakin Hakuna anayesema oil money ,wako wanaweka 250m kumchukua mbappe Hakuna anayesema ,lakin ingekuwa city ungesikia oil money [emoji23]...
Nyie endeleeni kuishi maisha ya 1800 huko ambapo team zilikuwa haitumii pesa muone kama hamjashuka daraja ,kuwa masikin sio sifa [emoji23],yaani kusema wewe hutumii pesa sio sifa Mzee amka ,top tema zote zinatumia pesa Tena kubwa Sana .,..
Huyo Klopp kaamua kukimbia joto la pep sio kwamba kakosa pesa ,mbinu Hana ,....
Kama Klopp ana mbinu ,atafute club yenye pesa wampe then tumuone " he is running out of energy,mbinu zimeisha mbele ya pep " .......
Am dropping the mike ....
Team la zamani huko hata yesu hajazaliwa,mnakuja kutamba mbele ya watoto WA mjini city boys ,kitawalamba ..
Punguza mchecheto mkuu.Mazee muda hauendi kabisa yaani.
Utanatamani tumpasue kipara mapema?Mazee muda hauendi kabisa yaani.
Ni hatariii ,, ogopaaPicha za jioni zimeshaanza kuvuja. (Leaking photos)
View attachment 2930128
Kop End loading πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Picha za jioni zimeshaanza kuvuja. (Leaking photos)
View attachment 2930128