Hii inamaanisha Michael Edwards ni muhimu zaidi kuliko Kocha.
Hapa napata points mbili:
1) FSG walimdharau Edwards kwasababu walikuwa na Klopp hivyo waliamini ataweza kuhandle kila kitu.
2) Klopp anaondoka FSG wanahisi sio rahisi tena kupata Kocha ambaye ataipandisha thamani tena Liverpool kwa kuifanya icheze kwenye consistency kila season back to back hivyo wanamtaka Edwards kuwavuusha.
Edwards naye anawakazia sasaView attachment 2919206
Sasa Edwards wenyewe nayeye amewagomea watengeneze hiyo New Structure bila ya Edwards
Kabisa mkuu“If you are good enough you are old enough regardless of age”.
Ila inahitaji timu iwe nzuri kwa ujumla wake. Unaona kama Barca kwa sasa wanavyo struggle hata hao wa academy kadhaa walionao wana potential ila timu inapitia kipindi kigumu hiyo potential huoni.
Chelsea ingekuwa kwenye ubora wa matokeo, wana wachezaji vijana wazuri tu sema hivyo timu haijatulia.
Mmiminieni mpunga mwingi na mpeni uhuru wa kufanya mambo bila kumzingua.Hii inamaanisha Michael Edwards ni muhimu zaidi kuliko Kocha.
Hapa napata points mbili:
1) FSG walimdharau Edwards kwasababu walikuwa na Klopp hivyo waliamini ataweza kuhandle kila kitu.
2) Klopp anaondoka FSG wanahisi sio rahisi tena kupata Kocha ambaye ataipandisha thamani tena Liverpool kwa kuifanya icheze kwenye consistency kila season back to back hivyo wanamtaka Edwards kuwavuusha.
Edwards naye anawakazia sasaView attachment 2919206
Well said bro....Wataalam wa vipaji tunasemaga "if you're good enough, you're old enough ". Pongezi nyingi kwa academy team yenu kwa jitihada zao ila wengine hapo kama huyo Elliott ni first teamers tayari sema tu ni wadogo kiumri. Saa zingine tunatumia umri wa vijana kukuza walichofanya (kijana mdogo hivi cheki mambo anayofanya uwanjani) na ni vizuri ila sometimes naona kama tunawashusha.
Pele aliingia Selecao na 17 years kama sikosei. Ronaldo da Lima pia. Messi kule Barcelona? Martinelli aliingia first team ya Arsenal na 18 years. Saka 17. Fabregas 17, Iwobi 17 na nadhani van Persie pia alianzia 18 au 19. Wayne Rooney 16 kule Everton Cristiano Ronaldo 17 au 18 Unyumbuni kama sikosei.
Naweza kuwa nimechanganya mahali ila narudi kwenye "if you're good enough, you're old enough". Hapa naongea waliopata chance ya kuwa regulars kiasi fulani. Hao vijana wa Liverpool aisee ukiachana na umri, wako vizuri.ssoll
Kwanza mpinzani mwenyewe alikuwa kenge. Tumekaa kimya tu huku ila mtaani tulikuwa tunashangaa sana mmefikaje 120 minutes na wale viwete. Academy team yetu ingewachapa hata 2-0 kabla ya dk 90 wale marasta uchwara.
Hawa majeruhi wasiporudi jmosi. Wale forest wanaweza kutulaza njaaLeo tunakipiga tena, hivi mna habari?
Hii timu ni ya kibingwa tayariHawa majeruhi wasiporudi jmosi. Wale forest wanaweza kutulaza njaa
Kwa hiyo nyie Livakuku mnataka na hili la FA cup? Hamtaki kuwaachia manyumbu hili moja?
Kama mwanafunzini anachekwa kwa kupata 12/100 kuna shida. Huyo ni wa kuhurumiwa na kukazaniwa.Arsenyani haina tofauti na mwanafunzi anayemcheka mwenzie kwa kupokea Pepa lenye marks 12/100 asijue lake linakuja Lina 12 hiyohiyo.
Kaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuriKama mwanafunzini anachekwa kwa kupata 12/100 kuna shida. Huyo ni wa kuhurumiwa na kukazaniwa.
Hata hivyo tukirudi kwenye makombe, nyie si mmeshapata moja tayari? Timu ni nyingi na makombe ni machache. Mnaleta uroho? Nyie ni wale wanafunzi mnaolilia na kupambania wali mchuzi wenye vipande vitatu vya nyama wakati kila mtu anapewa kipande kimoja
Alonso naye atakuja na sera hiyo hiyo maana si hatakubali kufanya chini ya kiwango cha aliyemuachia kijiti? Klopp anaweza akapata 'rush' ama 'high' ya kushinda makombe akaomba abaki aendelee kufundisha LiverpoolKaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuri
Sasa umeona namna arsenyani mlivyo na shida.Kama mwanafunzini anachekwa kwa kupata 12/100 kuna shida. Huyo ni wa kuhurumiwa na kukazaniwa.
Hata hivyo tukirudi kwenye makombe, nyie si mmeshapata moja tayari? Timu ni nyingi na makombe ni machache. Mnaleta uroho? Nyie ni wale wanafunzi mnaolilia na kupambania wali mchuzi wenye vipande vitatu vya nyama wakati kila mtu anapewa kipande kimoja
Manyumbu hata washinde UCL hatuwezi kuwakubali wale mahasimu wetu. Wale tunachowatakia ni vipigo vya kutosha lakini wasishuke tu daraja ili tuendelee kuwafuatilia kwa ukaribu na kuwachekaSasa umeona namna arsenyani mlivyo na shida.
Hiyo man u mnayoicheka ni miaka michache tu ilibeba Pl na msimu uliopita ndio walikuwa mabingwa wa Carabao wakati nyie mkiwa mikono mitupu.
Wale wazima wa afyaUsijali itakuja Soda hiyo.
Nunez hakujali Jones mgonjwa sukumia huko tutajua baadae… Szobo akafuata tena kwa nyuma sukumia Jones huko. By the way its a joy kutokana na vitoto kuvishikisha adabu £200M Mf’s.
YNWA