Hii imekaa aje aisee ina maana mpaka Jorg anasepq mbona kama tunabaki weupe mno kwenye nafasi muhimu sana aisee.
Muda utasema lakini hizo nafasi za kiutendaji FSG wanamleta nani kama vipi warejee kwa Edwards hawajachelewa alisaidia sana kujenga kikosi kwa mafanikio makubwa na pia data zake ndio washawishi Klopp aliekua na msimu mbaya sana BVB kwamba atafit Liverpool..
EDWARDS anatosha hii revolution hata kama sio full time apewe shavu la part time kuajiri watu muhimu kuanza hii revolution..
YNWA
Katika vitu napenda ni kuona timu inafundishwa na legend WA club. Sijui kwanini mashabiki wa liver hamumpendi ligend wenu (Gerad). Igeni mfano wa arsenal kwa Arteta.
Gerad akijahapo, atakuja na experience kubwa, kuliko aliyokuja nayo arteta. Gerad ana uchungu sana na timu
Klopp ni zaidi ya mtu, ni culture, personality, taasisi, monument…. You name it
I don’t see such a personality kwa sasa
Linders hana hizo qualities
Tumefikiwa 🥹🥹🥹
Klopp anaacha klabu ikiwa safe in n out of the field hivyo muda wa kuanza tena kuambiana ubingwa mpaka miaka minne hatuna aisee tunahitaji kocha wa kuleta immediate impact kwenye klabu na ushawishi sokoni na mwenye kueleweka anachocheza kimfumo sio zianze stori kama za Manchester United kwamba wachezaji hawa sio wangu bla bla... Mfumo unajulikana sana sana ni 4 3 3 attacking, weaknesses inajulikana ni RB na DM hivyo kocha ajae kibarua kinaanzia hapo hapo...Mkuu makocha hao, FSG are ready to spend? History inaonesha kocha mzuri mwenye good connection with fans and LFC community overal huyo anatoboa.
Mf Zidane ni ready made coach hana muda wa kupika wachezaji, kwa LFC ready made wanahesabika hizo offload atakazotaka na income FSG wanaweza?
Nafikiri selection ijikite pia kwenye uwezo wa kuandaa vijana pia, na mwenye uwezo wa kumanage vipaji. Inahitaji utulivu sana
Klopp anaacha klabu ikiwa safe in n out of the field hivyo muda wa kuanza tena kuambiana ubingwa mpaka miaka minne hatuna aisee tunahitaji kocha wa kuleta immediate impact kwenye klabu na ushawishi sokoni na mwenye kueleweka anachocheza kimfumo sio zianze stori kama za Manchester United kwamba wachezaji hawa sio wangu bla bla... Mfumo unajulikana sana sana ni 4 3 3 attacking, weaknesses inajulikana ni RB na DM hivyo kocha ajae kibarua kinaanzia hapo hapo...
FSG wamewekwa mtu kati hapa wakianza zile bla bla zao wajue klabu itashuka mazima... Katazame msimamo wa mapato ya Delloite Liverpool kwa kukosa kushiriki Champions League imeporomoka mpaka nafasi ya 7
YNWA
Nani ana namba ya Klopp tumbembeleze abaki[emoji24]
Kwani anaenda wapi jamani[emoji24]
Lakini alisema anaondoka 2027 mbonaAnapumzika. Mwache
Kuna muda ulipaswa kufika tuishi bila yeye na yeye ameona kwa sasa ndio muda sasa.
Amechoka haoni akiwa na nguvu tena ya kuendelea kupambana. Sisi tumemuelewa hivyo, muda utasema lkn.
YNWA
😂😁Emery unai akabidhiwe mikoba ya Klopp
[emoji16][emoji23][emoji16]
Lakini alisema anaondoka 2027 mbona
Shida siyo kuondoka,
Shida ni kama imekuwa ghafla.
Tutayajua tu Madam. Just relax he is our Moses we need to find our Joshua and not Moses again.
Kuna maswali unajiuliza kuhusu sababu yake ya kuondoka kama inakataa, landa kama ni kuumwa. Maana kama ni umri Don Carlo Ancelloti ni mkubwa kwake na yupo kwenye game miaka mingi tu, Hodgson, Moyes wapo hapo umri mkubwa bado wapo kwenye industry.
Hivyo maswali kama haya unajikuta akilini inakuja FSG, kuna mahali wameshindwana.
Relax Liverpool is still safe unless FSG wakumbatie tamaa, ila wamekaa muda kwenye game hivyo wamepata picha halisi ya biashara na nini kitatokea ikiwa hawatawekeza vya kutosha ndani ya uwanja. Klopp amewaonesha njia tayari ya nini ufanye uwe juu na ushindani.
Let focus na palipobaki as VVD said today.
Boys are ready to fight for club goals. Watupe Xabi Alonso au De Zerbi
YNWA.
🤣 🤣 Yankees kwa kupenda short cut haha usishangae aisee hawa jamaa wana roho ngumu sana... Tangu msimu ule wanatuletea akina Kabak wakati tulitakiwa kujenga kikosi cha kumkimbiza Kipara msimu ule sina imani kabisa na hawa jamaa.Tuseme tu watakuwa wamejifunza kuhusu biashara ya mpira… its up to them to maintain or destroy
Muacheni Klopp akapumzike amefanya jambo lake na sasa kijiti anapokea mwingine ndio maisha yalivyo aisee asingefia pale.. Tangu mwaka 1990 Klopp mpaka sasa Klopp alikua na mapumziko ya siku 90 katika kipindi chote hicho hivyo sishangai sana akisema hana tena nguvu za mapambano anaishiwa amsha amsha...Yaani hata facial expression ya Klopp alivyokuwa anaongea, inaonyesha Kuna kitu hakipo sawa😭
Mwee huyu baba anatuacha yatima wa mpira tuanze kutangatanga kama nyumbu na Chelsii😭
Apumzike vipi na hajamaliza muda😭Muacheni Klopp akapumzike amefanya jambo lake na sasa kijiti anapokea mwingine ndio maisha yalivyo aisee asingefia pale.. Tangu mwaka 1990 Klopp mpaka sasa Klopp alikua na mapumziko ya siku 90 katika kipindi chote hicho hivyo sishangai sana akisema hana tena nguvu za mapambano anaishiwa amsha amsha...
Imagine 1990 mpaka sasa ni miaka 34 amekua mchezaji akawa kocho bila kua na break zaid ya siku 90 lol amepambana apumzike...
YNWA
Yaani hata facial expression ya Klopp alivyokuwa anaongea, inaonyesha Kuna kitu hakipo sawa[emoji24]
Mwee huyu baba anatuacha yatima wa mpira tuanze kutangatanga kama nyumbu na Chelsii[emoji24]