Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Buvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...I was contemplanting a while ago about the best possible replacement for Klopp. My mind couldn't even picture a single soul. But after a while this name popped up in my thoughts, Zljeko Buvac (The Brain).
What if we give the team to Pep Lijnders and Buvac? Captain Marvelous King Ngwaba MosDef The MoNA
Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.Buvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...
Pep Ljinders hua anapewa sifa zote na Klopp kiasi kama huyu babu Klopp angeulizwa design kama Fergie wakati anang'oka Man Utd angesema tu Pep L anatosha pengine.. Kitendo wanaodoka wote wasaidizi wa Klopp ni kama vile kuna shavu lipo mahala aisee kama sio Real Madrid, Bayern, BVB au Barcelona ndio timu naona akitua au Timu ya Taifa Ujeremani au Brazil muda utasema ataishia wapi.
Kwa Liverpool hapa kazi ilishaanza tangu November 2023 kusaka mridhi wa Klopp hivyo tuwe na subira. Majina ni mengi sana yanatajwa naamini wanao muda wa ku profile kila mmoja na kupata atakaetupeleka mbali zaidi ki ushindi.
YNWA
Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo 😂 na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho 🙆🏽🙆🏽..Alonso will suit us CV as Player might favour him first…!!! Then Roberto De Zerbi 2nd candidate to lead this trop
Ni aina ya makocha wenye uwezo wa kukuza na kuendeleza vipaji.
Hapana aisee amefanya vyema kutangaza yeye kuliko ipenyezwe kwa Romano na mawakala wa hawa makocha wanaofuatiliwa na klabu aafu ingeleta sintofahamu sana kwa wachezaji bora wamesikia from the horse mouth kwamba msimu huu ndio wetu wa mwisho hivyo let's make history.. Aliongea nao jana asubuhi wapo waliotoa machozi kabisa lakin alibyojieleza kwao wamemwelewa kwamba hii ni part of th process na wata adapt hakuna namna...Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.
Kwangu mimi naona kama Klopp amefanya kutanganza uamuzi wake mapema sana tukiwa katika critical stage kwenye msimu. Tuko sehemu nzuri katika michuano yote tunayoshiriki sasa hii announcement inaweza ika disrupt kila kitu.
Ni bora angesubiri mwisho aseme hataongeza mkataba.
allypipi na OllaChuga Oc na PainkillerKumbe ni kweli 😭😭😭😭😭
Jamani😭😭😭😭😭
Klopp nani kamroga kwani? 😭
Teja bardi ya Uingereza ilimpeleka puta sana.Tukamchukue Thomas Tuchel
Hii imekaa aje aisee ina maana mpaka Jorg anasepq mbona kama tunabaki weupe mno kwenye nafasi muhimu sana aisee.[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool will part ways with director Jorg Schmadtke next week [emoji837][emoji629]
Klopp’s backroom staff of Pep Lijnders, Vitor Matos and Peter Krawietz will also depart at the end of the season.
After Jurgen Klopp leaving in the summer, Schmadtke will not continue as he was really close to the manager.
[emoji102] It’ll be 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 𝐫𝐞𝐯𝐨𝐥𝐮𝐭𝐢𝐨𝐧 next season with new director, new head coach and new staff in July 2024!
Katika vitu napenda ni kuona timu inafundishwa na legend WA club. Sijui kwanini mashabiki wa liver hamumpendi ligend wenu (Gerad). Igeni mfano wa arsenal kwa Arteta.Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo 😂 na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho 🙆🏽🙆🏽..
Cheeee 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2884278yajayo yanafurahisha
Klopp ni zaidi ya mtu, ni culture, personality, taasisi, monument…. You name itBuvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...
Pep Ljinders hua anapewa sifa zote na Klopp kiasi kama huyu babu Klopp angeulizwa design kama Fergie wakati anang'oka Man Utd angesema tu Pep L anatosha pengine.. Kitendo wanaodoka wote wasaidizi wa Klopp ni kama vile kuna shavu lipo mahala aisee kama sio Real Madrid, Bayern, BVB au Barcelona ndio timu naona akitua au Timu ya Taifa Ujeremani au Brazil muda utasema ataishia wapi.
Kwa Liverpool hapa kazi ilishaanza tangu November 2023 kusaka mridhi wa Klopp hivyo tuwe na subira. Majina ni mengi sana yanatajwa naamini wanao muda wa ku profile kila mmoja na kupata atakaetupeleka mbali zaidi ki ushindi.
YNWA
Dah nime i miss sana ile Liverpool ya wachezaji hatari kama
I was contemplanting a while ago about the best possible replacement for Klopp. My mind couldn't even picture a single soul. But after a while this name popped up in my thoughts, Zljeko Buvac (The Brain).
What if we give the team to Pep Lijnders and Buvac? Captain Marvelous King Ngwaba MosDef The MoNA
Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.
Kwangu mimi naona kama Klopp amefanya kutanganza uamuzi wake mapema sana tukiwa katika critical stage kwenye msimu. Tuko sehemu nzuri katika michuano yote tunayoshiriki sasa hii announcement inaweza ika disrupt kila kitu.
Ni bora angesubiri mwisho aseme hataongeza mkataba.
Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo [emoji23] na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho [emoji1438][emoji1438]..
Tuna kikosi kichanga sana kila nafasi angalau tuna depth ya kutuvusha salama na usajili pekee ni MF mmoja DM aafu Morton arejee kusaidiana na Bajcetic na kati tutakua salama..
Sina hakika kama Salah atabakia aisee au atasepa kuvuna mpunga UAE.
Tangu November Klopp kawajulisha kazi kwao watuletee like for like Gaffer
YNWA
Teja bardi ya Uingereza ilimpeleka puta sana.
Conte hana kazi.
Zizou hana kazi.
YNWA