To be honest I'd be hella more stressed if he wasn't making chances for himself. Just like Coutinho, he used to be popping shots from afar, missing constantly for like two seasons straight. Then outta nowhere, he found his groove. Same deal's gonna happen for Nunez real soon.Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.
Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.
Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.
I wish him all the best.
Naunga mkono hojaEgypt ni fainal au nusu final anaweza zuiliwa na ivorycoast au senegal tena kwa tabu njia yake asipokutana na hao ni fainali maombi yako kiufupi ni dua la kuku. Football Africa inatabirika.Team Bora kama Morocco hawezi mfunga Egypt hata friend match
Liver mlimshindwa kumfunga na yupo juu yenuNimeona post moja mwenzako anapiga ramli anatuhesabia mechi za sisi kuja kufungwa 🤣🤣🤣 inaonyesha mlivyo waoga mkikumbuka kipara the mastermind anawapumulia hapo kisogoni na ndo kwanzaa january na sie ligi huwa tunaanza February na gap ni 5 pts kwa msaada wa kiporo...hapo lazma mchanganyikiwe.
To be honest I'd be hella more stressed if he wasn't making chances for himself. Just like Coutinho, he used to be popping shots from afar, missing constantly for like two seasons straight. Then outta nowhere, he found his groove. Same deal's gonna happen for Nunez real soon.
Dude's ticking all the boxes except putting it in the net. Patience, it's gonna happen. But these days, our fans will straight up roast him, and the sky high hopes ain't making it any easier.
Binafsi sioni umuhimu wa kununua LCB kwasasa , labda tupate wa mkopo.
Hii nafasi tayari ina wachezaji wawili wote wazuri. Gomez aachwe maybe tungekuwa tunacheza UEFA ila kwa EUROPE sioni umuhimu.
Juzi Klopp kasema, kuna baadhi ya comments kwenye social medias zinamu-affect kidogo Nunez.Nunez will come good n lethal hilo sina shaka nalo. Ni unfinished potential so Klopp na jopo lake la walimu na Marcelo mwalimu timu yake ya Taifa wanajua wapi pamebakia boy a click na ni suala la muda tu na ukizingatia hata umri wake utaona kwa Klopp akisema... "its all good with Nunez..."
YNWA
Tunahitaji new face at the back.Cup games hopefully tumebaki na Gomez as Senior anayeweza kukupiga LB kwa usahihi. Finger crossed asiumie mpka mwisho wa msimu. He is in a good form
Tulikuwa na mjadala na Captain Marvelous kuhusu uwepo wa Thiago kikosi. Mie naamini we still need him kwa uzoefu wake na uwezo wake. We have many games bado atatusaidia kwenye rotation. Ila Captain haamini ikiwa kwa aina ya mpira tunaocheza kama atatufaa.
Akutane na Bobby ampe stori maisha ya kule. Read bobby kayachoka maisha ya kule. Kule Saudi uamue kuzifuata pesa tu baaaaasi.
Yes.Ina maana SI unit Yako ya ubora wa Nunez ni Arsenal?
If he stays fit, he will win us the league.Arudi tu aisee
Atumikiepo mshahara anaolipwa
Last 16 premier league games, Nunez ana goli 3 tuu yellow card 6
Nunez is one strong fella... Anaweka pamba masikioni na kusonga mbele. Kinachomfariji na mashabiki wanaohudhuria mechi laivu wale wanasimama nae muda wote akiwa bench ni ma songi tu yanatembea na akiwa ground wanasimama kwa kua wanaona anachokiona Klopp kukomaa na huyu dogo..Juzi Klopp kasema, kuna baadhi ya comments kwenye social medias zinamu-affect kidogo Nunez.
But, nashukuru jamaa ni very strong individual, ukichukulia kila game ikiisha, topic anakuwa ni yeye, he's not allowed kumiss chances kabisa.
Its sad.
Stories ni kuwa Salah hayupo sure kama anataka kuondoka LFC in the summer.
Kama Matip hatopewa mkataba basi defence inahitaji new comer established aje aidha winter au summer...Binafsi sioni umuhimu wa kununua LCB kwasasa , labda tupate wa mkopo.
Hii nafasi tayari ina wachezaji wawili wote wazuri. Gomez aachwe maybe tungekuwa tunacheza UEFA ila kwa EUROPE sioni umuhimu.
Tatizo anashinda hospital tu jamaaIf he stays fit, he will win us the league.
Mark this post.
Ila msimu Jana na wewe tulikuwa wote kwenye wimbo wa Gomez auzweKama Matip hatopewa mkataba basi defence inahitaji new comer established aje aidha winter au summer...
Gomez ni kiraka haswa yumo kote kote CBR, RB, LB lol Klopp huyu atastaafu nae.
YNWA
Nunez is one strong fella... Anaweka pamba masikioni na kusonga mbele. Kinachomfariji na mashabiki wanaohudhuria mechi laivu wale wanasimama nae muda wote akiwa bench ni ma songi tu yanatembea na akiwa ground wanasimama kwa kua wanaona anachokiona Klopp kukomaa na huyu dogo..
Its all good kwa kweli akomae tu hakuna namna hana haja ya ku prove Doubters kwamba anaweza cha msingi ni atie bidii zaidi na magoli yatakuja.
In Nunez I Believe in Klopp i trust.
YNWA
Suarez alicheza na watu gani? Kocha gani? Hakuikuta timu kama ilivyo kwa Nunez, chance ngapi za wazi Suarez alikua anakosa?
Good news, he will give our midfield new impetus