When Salah or Mane joined non had been near as clinical as they turned hapa Liverpool that why i bank on Khavicha any day of the week as he is fast with acute passee in this case zitue kwa Nunez just like anavyofanya kwa Osimen pale Napoli hivyo kama Klopp ataamue kwenda na dogo basi we are on th same page na kingine just like Salah he has tricks na anajilinda sana kutoumia hovyo hovyo...
To get th3 best of Nunez he is the right candidate, msimu uliopita Serie A Khavicha alipata goli 12 na assist 10 na kadi moja ya njano katika mechi 30 akianza na mechi 4 akitokea benchi
Salah msimu uliopita EPL alipata goli 19 na assist 7 akicheza mechi 34 na moja akitokea benchi huku akipata kadi 2 za njano...
Kwa mbali unaweza kuona japo Salah msimu uliopita timu ulimwangusha kwa kua hatukucheza vyema lakini yeye na Khavicha hawajaachana sana out put with Khavicha still being 22 years bado ana miaka kibao kujiweka sawa.. Salah alijunga Liverpool akiwa na miaka 25 hivyo huyu dogo kwa umri huu bado potential na peak hajaweka kufika elite level kwa kua kipaji kipo he is worth a try, changamoto na ku negotiate na Napoli President Aurelio de Laurentiis yaaani a hard nut kama Kipara wa Spurs.
YNWA
Tap in zinamshinda Nunez, hizo unazoziita ya kupata anakosa…
Suala la muda. Kuna stats na picha yake nimetaka kuleta humu nikajua huyu bibie atafuraaaaaaaaahi sana wacha ikae huko kwanza.
Nunez missed 10 big chances msimu huu wa EPL game week 11. Zingatia big chances
😂 😂 😂 😂 Man the Henderson was pain in the ...s, couldn't even understand ever what he offered kwa Klopp huko mazoezini mpaka the Great Captain Fantastic Mr Gerrard akaona atuokoe aisee...
Ishu yangu kuu na huyu bwana ni kwamba he was never good enough kwa mfumo wa Klopp he shined when others shined lakini Waingereze bhana wanajua namna ya kutetea thier own..utasikia Henderson what a man off the pitch LGBG nk nk whats man representing Liverpool on n off field, kimsingi kumtetea huyu bwana ilibidi ma pundits watumie zaidi ya nje ya uwanja especially during covid era kumpublish nk nk lakini ilifika mahala Klopp akaona hawa ma pundits hukooo itakua ni mawakala wa Kipara kumzima Klopp 😂.. This season Klopp hakutaka kupepesa maneno ni jambo moja tu alisema.. Henderson ukibaki i can't assure you anything utakula benchi kama wengine nk nk, then came the cash loadee Arabs n phewwwwww Henderson was gone, am more than relived yule dogo kusepa was the best part of business this summer...
Tupo pamoja MosDef
Liverpool yetu pendwa ipo ipo not really there but we can see the ideas za Klopp ishu how to execute with positive results that will take time.
Am at peace with new boys settling in mdogo mdogo n kuanza kuonyesha whats a functioning progressive MF should look like... We get the DM sorted n we have a proper team here
YNWA
AkiyananiSijamgeuka hata kidogo, nipo nae huyu mpka mwisho wa dahari.
Nunez mr bangers tu, tap ins tumuachie Hallaand.
Nunez is the best second striker after Hallaand EPL.
Muacheni Trent wangu jamani😂Kimsingi the boys had a bad outing ishu sio mara ya kwanza ugenini kwa hizi timu zinazopanda daraja Klopp hua zinamsubua sana sana, sijui wanadharau kwamba hata wacheze vipi ushindi waja ama namna gani sielewi kwa kweli.
Trent ni kama anaboeka kucheza RB na anafosi kwa nguvu zote ahamie kati RMF.. Sasa ikiwa hivyo nani ale benchi Domy, Gravenberch au Macca.
Hatupo vimbaya sana kimsamamo EPL kuanza kupaniki lakini vile vile hatupo vizuri kuanza kuota ubingwa mhmhmh hapo hapana kazi bado inaedelea kufika level za Kipara
YNWA
Akiacha kukosa ya kupata tutaimba wimbo mmoja kwamba Nunez mwamba😂😂😂😂😂😂Huyu Miss Liverpool wala usihangaike nae sana huyu Nunez atakuja kumzima mazimaaa tu hilo wala sina wasiwasi..
Nunez msimu huu lazima atupie goli 20 EPL.
YNWA
I would rather get this boy n turn him to be a world beater like Mane n enjoy cool 7 or so years of super quality output...nasema hivyo maana sure bet would have been Mbappe maana huyo ndio like for like Salah in terms of numbers lakini we know well unless otherwise boy is destined for Los Blonco.I dont know, but i'm not that solid on him.
Salah/Mane situations were so different, we were creating a team kipindi kile, so hawakuja na big expectations au mzigo wa mategemeo, so hakukuwa na huge pressure ya ku-perform kwa ukubwa straight-away.
Kama akija, Khvicha, anakuja ku-replace na kubeba mzigo wa Salah, so lazima kutakuwa na huge expectations, ambapo sometimes huwa inaleta positive/negative reactions kwa players.
Khvicha, is 22, ni kama Nunez, and theres no way Napoli will sell him chini ya £80m, so atakuja na expectations, LFC fans expected Nunez kutupa numbers/play like Firmino straight-away, which is impossible, some players needs room ya development, itakuwa ni same kwa Khvicha, but unfortunately, tuna fans ambao they just cant wait to bash these young talents, ili ku-prove tu their points.
So, i fear same outcome kwa Khvicha, because i'm 100% sure, he will need a lot of coaching and patience, especially kwenye suala la goals-output. fans watasubiri? au wataelewa kuwa replacing Salah is just hard?
😂 😂 😂 Henderson ametembelea sana nyota za watu... Ukihitaji kutoa mfano wa wenye bahati duniani don't look further zaidi ya Henderson at LFC hakuna kingine aisee... He was one lucky bum....Kilichokuwa kinaniuma kwa Henderson, ni kupewa maua yote kwa kazi walizokuwa wanafanya kina Fabinho, Gini, VVD, Alisson, Matip, Mane, Salah, Firmino, Robertson etc.
Henderson amekuja LFC akiwa na miaka 20, tumemshuhudia akikua at LFC, tumeshuhudia uwezo wake at LFC, tulikuwa tunajua his limitations, but we started flying, sifa zote zikawa zinaenda kwake, hard-works za wachezaji wengine zikawa zinawekwa chini ya carpet, it was absurd.
Some, were saying ni greatest LFC captain ever, ilkuwa ni shida, i'm just glad he's gone.
Yeah, we are going in the right direction, just need few additions, and we will be solid.
Wala hatuna ishu nae.. Asimamie majukumu yake bila kuwadhuru wengine na kufanya waonekana kama wamepwaya...Muacheni Trent wangu jamani😂
Ukitaka strika asiekosa miss Liverpool labda waanze kutengeza ma robot lakini wengine wote kosa kosa zipo.Akiacha kukosa ya kupata tutaimba wimbo mmoja kwamba Nunez mwamba😂😂😂😂😂😂
Huyo mnayemsema aje amreplace Salah ni kwamba mnamtafutia tu majanga na presha za rejareja.
Salah is irreplaceable.
Man u sasahivi ni kikundi cha wahuni[emoji2306] [emoji2306] [emoji2306] Hawa Manjesta tangu aodoke the Great Fergie wamegeuke ofisi ya upigaji yaaani all the investment done na bado team haeleweki inatumia mfumo gani uwanjani yaaani hawana identity kabisa wapo wapo na hatari zaidi ni kwamba wachezaji watatu Sancho, Maguire na Antony walionunua kwa ela ndefu sana wamekua super extra flop...utashangaa soon kusikia ETG nae anatimuliwa aodoke....
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitaka strika asiekosa miss Liverpool labda waanze kutengeza ma robot lakini wengine wote kosa kosa zipo.
YNWA
Kupwaya walipwaya wote bwana,.siyo Trent pekeyake.Wala hatuna ishu nae.. Asimamie majukumu yake bila kuwadhuru wengine na kufanya waonekana kama wamepwaya...
YNWA
Hizi sasa ni chuki kwa Le Captain [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Henderson ametembelea sana nyota za watu... Ukihitaji kutoa mfano wa wenye bahati duniani don't look further zaidi ya Henderson at LFC hakuna kingine aisee... He was one lucky bum....
Kazi wafanye wengine kwa kujitoa na kujituma but the CP is there taking the credit, pazuri ni pale hata uwanjani walianza kumdiss vile baada ya kuona huyu hata apewe na kijiko uwezo wake umeishia pale na Liverpool mahitaji yetu yakizidi alichokua ana tu offer... Hakuna siku aliniboa huyu dogo kama gemu fulani alicheza RB i guess vs Westham kipindi cha winter pale ndio nilijua huyu anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaamnisha mashabiki kwamba kuna mchezaji pale, haya kuna gemu nyingine nadhani ugenini Manchester United alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu na mapema sana Klopp pale pale alitakiwa amuache bench aheshimu mamlaka..
Good he is gone... Next on the list ni Thiago, Matip, Adrian...
YNWA
"alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu "[emoji23] [emoji23] [emoji23] Henderson ametembelea sana nyota za watu... Ukihitaji kutoa mfano wa wenye bahati duniani don't look further zaidi ya Henderson at LFC hakuna kingine aisee... He was one lucky bum....
Kazi wafanye wengine kwa kujitoa na kujituma but the CP is there taking the credit, pazuri ni pale hata uwanjani walianza kumdiss vile baada ya kuona huyu hata apewe na kijiko uwezo wake umeishia pale na Liverpool mahitaji yetu yakizidi alichokua ana tu offer... Hakuna siku aliniboa huyu dogo kama gemu fulani alicheza RB i guess vs Westham kipindi cha winter pale ndio nilijua huyu anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaamnisha mashabiki kwamba kuna mchezaji pale, haya kuna gemu nyingine nadhani ugenini Manchester United alipewa sub akadiss kumpa mkono Klopp kwa hasira eti katolewa when he was just loitering uwanjani kama headless chicken ooh dude nilimuona kabisa huyu ni mwana mpotevu na mapema sana Klopp pale pale alitakiwa amuache bench aheshimu mamlaka..
Good he is gone... Next on the list ni Thiago, Matip, Adrian...
YNWA
Huyu dogo atuvumilie tuGame against Luton, both Jota & Salah missed big chances, but ofcourse, scapegoat ni Nunez, because its fashionable.
Jota ghosted the whole game, Salah ghosted the whole game, it was Diaz & Elliott who saved our arses, but ofcourse, lets blame Nunez.
Open-play chance aliyopata Jota, ilikuwa ni rahisi kuliko zile za Nunez & Salah, but not a word about it.
Na kama ni mtu wa mpira, ukiangalia game ya Luton, utajua tu our tactical shortcomings ndiyo iliyotu-cost game, siyo BCMs za Nunez, Jota, Salah, because kila games, lazima ukutane na BCMs, if you create a LOT of chances, Haaland msimu uliopita alikuwa na goals nyingi sana, but alikuwa na BCMs za kutosha, ni kawaida kwa STs, kuwa na BCMs it means una-create good chances, and ST wako ni mzuri kwenye ku-find rooms/channels/spaces & very good kwenye positioning.
bado miaka mingapi wafikie ile rekodi ytetu ya bila kombe walitucheka sana n kutubeza duni ani hii hiii na bado sanaMan u sasahivi ni kikundi cha wahuni
Kocha anajibizana na wachezaji[emoji1787],kocha anasimanga wachezaji
Wachezaji wanajibu mapigo
Sancho ameondolewa kwenye group la Whatsapp
Hakuna timu hapo [emoji23][emoji23]
E7Hag wenyewe ashasema hawezi kucheza mpira kama wa Ajax
Sasahivi janjajanja za msimu uliopita zimeshaishia ukingoni.