Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,828
- 236,145
Kaka Nuniez katika ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji23] [emoji23] [emoji23] U r sworn Nunez critik haijalishi acheze vipi na dakika ngap wwe umo kumdiss unless unasahau hata huyo Salah kuna wakati humu almost aliboa sana kwa ule uselfishness wake kiasi Mane alichukia live bila chenga lakini Klopp hakuwai kumtia benchi mbali muda wote akiwa mzima ni wa kupangwa na hilo lilichangia dogo Mo kua na consistency ya kufunga ama kutengeza magoli kwa wengine na hilo ndio binafsi nataka nione kwa Nunez akipewa dakika za kutosha uwanjani 1st 11 sio hizi patches...
Huyo Halaand hata asipofunga hutakaa umuone benchi yeye yumo kwa kua Kipara ana imani ila kwa Klopp ni vice versa yeye ana watu wake anaowaamini lazima wawe 1st 11 regardless wana form ipi wao wamoo tu 1st 11....yalimkuta Fabinho alivyotua Liverpool na pia Robertson yalimkuta pia hivyo dogo Nunez ajitume tu hakuna namna japo kwa strika dakia nyingi uwanjani ndio chance nyingi za magoli hana jinsi hizo hizo dakika anazopata kitaeleweka.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 Tuache na Nunez wetu nenda hukoo Uarabuni kamfuatilie Mane na Henderson wako 😝😝😝Kaka Nuniez katika ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji91][emoji91]
Mnasema Salah mbinafsi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuache na Nunez wetu nenda hukoo Uarabuni kamfuatilie Mane na Henderson wako [emoji13][emoji13][emoji13]
YNWA
Klopp ana makengeza ujue.. Kwamba hakuona ile defence inahitaji kuongezewa watumishi/mtumishi ni maswali mengi bila majibu... VVD sio yule wa miaka hio, Konate is made of Indian biscuits hawezi kukupa 10 intense games in row.. Matip haeleweki siku unategemea akupe kazi kazi ndio huyoo ananchemka na mabeki wa pembeni all have been said...Ujue muda mwingine nawaza hata system yetu ya uzuiaji ni mbovu kwa kweli, sasa ukija kuweka na individual weaknesses ndio kabisa tunazidi kuwa wazi.
Bado Klopp hajajipata kusema ukweli bahati nzuri tunashinda pamoja na kuchechemea kwetu.
😂 😂 Klopp aliwai kuulizwa hilo ubinafsi akajibu kazi ya ma forwards ni kufunga hivyo its all cool haha buyo ndio Klopp aiseMnasema Salah mbinafsi?
Hivi unajua hata Mane ukimuangalia mwanzo mwisho, utagundua naye alikuwa na kaubinafsi.
Bwana niache bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uarabuni ntashindwa kupiga vyombo[emoji38]
Nimeona Cr7 kaanza kuswali😂 😂 Klopp aliwai kuulizwa hilo ubinafsi akajibu kazi ya ma forwards ni kufunga hivyo its all cool haha buyo ndio Klopp aise
Nenda kamfuatilie Mane na Firmino hukooo mashariki ya mbali
YNWA
😂 😂 😂 Aisee wapo timu gani vile...Nimeona Cr7 kaanza kuswali
Yupo na ndugu yetu Mane.
Ligi yao haina vibe Kwa kweli.. watazame wenyewe.
Ahaaa, kumbe unapiga vyombo 😄, siku unazomdiss Nyunyez unakuwa umeshawasha gari tayari 😄 🤣 😂Mnasema Salah mbinafsi?
Hivi unajua hata Mane ukimuangalia mwanzo mwisho, utagundua naye alikuwa na kaubinafsi.
Bwana niache bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uarabuni ntashindwa kupiga vyombo[emoji38]
Ndiyo MkuuAhaaa, kumbe unapiga vyombo 😄, siku unazomdiss Nyunyez unakuwa umeshawasha gari tayari 😄 🤣 😂
Yule refarii wa mired card anyongwe😂Mechi 9 sasa EPL, nafasi aliyepo Spurs ndo nafasi aliyopaswa kuwa Liverpool kama sio ungeserema wa marefalii
Sijui hata kuitamka😂 😂 😂 Aisee wapo timu gani vile...
Unatamani sana angeodoka Nunez afuu abakie Bobby haha ukae kwa kutulia...
YNWA
Nitamtupia Zongo lakutoka Lushoto kwetu aote majipu mwili mzima na nimtoe Busha size ya cubic meter 1Yule refarii wa mired card anyongwe😂
Ile Bar pale Maramba ikifunguliwa niiteNdiyo Mkuu
Kushtua lazima😁
Sasa mtu unaamgaliaje mpira wakati haujajiboost kidogo?? 🤣(Natania)
pombe Haram.
najifukia juice Cola mdogo mdogo natazama mechi huku machozi yamenilenga akiwa anakosa magoli ya wazi kabisa.
Hivi M'bazuu aliyebakia pale Anfield ni Allison Becker pekee?Sijui hata kuitamka
Kwa kweli hizo ligi za uarabuni hazinogi hata kidogo.
Bobby angebaki tu aisee
Jamaa silent killer, mpole usoni huku anakuchinja mguuni.
Washafungua Mkuu 🤣Ile Bar pale Maramba ikifunguliwa niite
NdiyoHivi M'bazuu aliyebakia pale Anfield ni Allison Becker pekee?
Kule wanakwenda kuvuna ela aisee... Hakuna kingine eti waliomba wawe wanashirki Uefa 🤣🤣.... Like serious Uefa na zile timu yaaaaani kisa wanapesa wanataka free pass hakuna wepesi....Sijui hata kuitamka
Kwa kweli hizo ligi za uarabuni hazinogi hata kidogo.
Bobby angebaki tu aisee
Jamaa silent killer, mpole usoni huku anakuchinja mguuni.
Mkuu hili lisikusumbue sana ubingwa matokeo hesabu zake ni kuanzia February aisee yaaani pale Klopp aache bla bla beki mmoja na Dm mmoja January ili Kipara asipate tena free pass hivi hivi ya taji hili murwa sana.Mechi 9 sasa EPL, nafasi aliyepo Spurs ndo nafasi aliyopaswa kuwa Liverpool kama sio ungeserema wa marefalii
Hakuna cha siku mbaya 😂Mkuu hili lisikusumbue sana ubingwa matokeo hesabu zake ni kuanzia February aisee yaaani pale Klopp aache bla bla beki mmoja na Dm mmoja January ili Kipara asipate tena free pass hivi hivi ya taji hili murwa sana.
Refa alisinzia kazini but nae binadamu aisee kua na siku mbaya kazini kupo..
YNWA