Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Dah! Sijui kwann anaondoka tu inaniuma balaa [emoji24]YNWA
AISEE
nyie nimeshangilia Hadi nimelia
Bao la firmino limenitoa machozi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi nimelia kwa furaha na uchunguDah! Sijui kwann anaondoka tu inaniuma balaa [emoji24]
Nikapata lile vibe la WC alivyokuwa ana cut kuscore Dahh!
Boy anazidi kuvaa viatu vya Firmino kwa vitendo ni kazi kazi sanaaa tu.Nikapata lile vibe la WC alivyokuwa ana cut kuscore Dahh!
Leta analysis kidogo nisome madini yako
Tunakesha huko 🤣🤣🤣🤣Leo tumejaa kwenye jukwaa la man u kule,tunawanyoosha tu 😀😀