Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Maskini mtoto wa watu[emoji23]PSV coach Ruud Van Nistelrooy: "Cody Gakpo’s dream move was Man United. I advised him to wait until the summer”, reports Telegraph. [emoji599][emoji837] #MUFC
“Something happened, he refused my advice and listened to Van Dijk who tempted him to join Liverpool”, van Nistelrooy added. #LFC
Mmeipenda wenyewe.Liverpool ipo kutunyoosha wallaq[emoji119][emoji23]
Itatunyonga mwaka huuMmeipenda wenyewe.
Tuwe na subira.
YNWA
JumatatuHivi Liverpool tunacheza tena lini?
Tuanze kujiandaa kisaikolojia.
Tujiandae tena kulizwa na hii timuJumatatu
Kumbe wewe mkisiItatunyonga mwaka huu
Nikimsikiza Klopp ndio natamani nijitupe chini[emoji23]
Aslam alyeikum ChiefKumbe wewe mkisi
Lakini bado lazima mchapwe Leo tu ni lazima hata muimbe na kulia kwa uchungu.Wanadamu wote
Tutakusanyika wapi?
Mbele zake Bwana mwokozi
Tutamwimbia Bwana
Ooh
Bwana
Ooh
Bwana
Hallelujah Bwana
I guess Bobby was singing this song View attachment 2513452
Si tuna mechi j3 auLakini bado lazima mchapwe Leo tu ni lazima hata muimbe na kulia kwa uchungu.