Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Saint Anne
Wakati Gerrard anafungashiwa virago, mashabiki wa villa hawakupendezwa na hilo.

Hahah huu mpira kuna wakati unaweza usijue unahitaji nini wewe kama mshabiki.

Sasa hivi siye lawama kwa kila mchezaji klopp na fsg
 
Hahaha maisha kweli hayana definition. Anyway tukubaliane kwa sasa kwa upuuzi wa Klopp na FSG.

FSG Kumfukuza Klopp ni kumuonea tu a they are not backing him alot as the currently football business needing.
Kabisa!
Kiburi chao ndio kimetufikisha hapa.

Hawa jamaa lao moja .
 
Klopp abadili mazoezi injury crisis kwetu too much.
Jana nilipoona vvd amekaa chini nikasema ohooo Henderson/Fabinho mmoja CB ndio tutadundwa vizuri sasa.

Imagine currently Liverpool without Beckor
 
Saint Anne
Wakati Gerrard anafungashiwa virago, mashabiki wa villa hawakupendezwa na hilo.

Hahah huu mpira kuna wakati unaweza usijue unahitaji nini wewe kama mshabiki.

Sasa hivi siye lawama kwa kila mchezaji klopp na fsg
Mimi kama shabiki wake sijapenda kabisa yeye kuondolewa.
 
Klopp abadili mazoezi injury crisis kwetu too much.
Jana nilipoona vvd amekaa chini nikasema ohooo Henderson/Fabinho mmoja CB ndio tutadundwa vizuri sasa.

Imagine currently Liverpool without Beckor
Jana MosDef kasema walibana matumizi kwenye madakari.

Acha timu ivune ilichopanda.
 
Hana ustaarabu wowote..
Ameamua kuungana na hao jamaa kutunza ugali wake.

Jamaa ni huruma zinamuangusha

Milner
Henderson
Jones
Keita
Ox
Elliot
Gomez

Hawa sio cream player wakukupa mataji,.. they were not supposed to be in our team untill now.

Binafsi nina imani not utafiti ukiwa na alot of english players in your regular playing team hufanikiwi. Especially kwenye MF
 
Kenge hasikii hadi damu imemwagika
 
Si ameamua akubaliane na mwendo wa boss zake.
Yeye kibarua chake kipo pazuri.

Lao Moja,kutuumiza mashabiki.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…