IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,855
- 7,458
Nadhani klopp atafanya rotation leo.Liverpool vs RB Salzburg
Nimeona wachambuzi wengi wanasema kuna uwezekano wa Klopp kuweka full mkoko. Nimeshangaa ukizingatia tuna game ya muhimu Jumamosi.
Ila ngoja tuone, ni suala la muda tu.
Liverpool ur you ready for another loss on saturdayNadhani klopp atafanya rotation leo.
Dstv hakuna mzee labda fanya ku streamWakuu hii game yetu ya kirafiki wataonyesha channel gani Dstv leo niichungulie
Pamoja Mkuu nimekupata.Dstv hakuna mzee labda fanya ku stream
Unastream kupitia App gani? Maana ninaona LFCTV GO Mpaka ulipie.Dstv hakuna mzee labda fanya ku stream
Niliangalia kupitia www.hesgoal.comUnastream kupitia App gani? Maana ninaona LFCTV GO Mpaka ulipie.
Are you ready for another big loss?Kabla watu hawajaja kutema shit hapa ieleweke kwamba Jana tulicheza game nzur tu tukianza na kikosi B ambacho Kama kawaida kilikosa muunganiko kwenye backline na kiungo so tukaconcede hilo goli moja kipindi Cha kwanza
Kipindi Cha pili kilianza kwa sub ya milner akaingia Robertson na Nunez akampisha firmino then dakika ya 60 ukaingia full mziki yaan full mkoko(Salah,fabinho,Trent, Henderson, Diaz, Virgil,matip....)mpira ulipigwa wa kutosha tu kosakosa nyingi na itoshe kusema kikosi chetu Kiko imara na tukutane jmoc tunapoenda kumchapa City
Coming from where??Are you ready for another big loss?
ManchesterComing from where??
Mkuu mpira sio vita lazima ujue maadui zako wana panga nini[emoji1787][emoji1787] kila uzi lazima nichungulie nijue kinaendelea nini.Huyu allypipi kumbe mpinzani namuona analike tu kama ka kop kumbe ni wahuko upinzani.
Ndio utamu wa mpira mkikutana wastaarabu wa mpira.
Katika mashabik wa nyumbu wewe nakukubali Sana ,mzee wa dunia yote inafuraha 🤣🤣Mkuu mpira sio vita lazima ujue maadui zako wana panga nini[emoji1787][emoji1787] kila uzi lazima nichungulie nijue kinaendelea nini.
Kuhusu ku like mimi kila sehemu nayo soma lazima ni like kama kuacha alama kwamba hapa nishasoma.
Depth yenu ya kikos kwenye mid akiumia Thiago au fabinho kazi mnayoOx tayari hamstring hata ligi haijaanza