Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpotezee huyo ana stress za litimu lake
 
Liverpool....somaaaaa hio .... liverpoooooool nasema somaaaaa hiyooooooo ........ [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Soma hiyoooo jogoo broilaaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 

Attachments

  • mancity-20220524-0010.jpg
    35 KB · Views: 33
Somaaa hiyo liverpool...iiiiiiii..piiiiiiii...eeeeee...looooooo...paaaaa paaaa kofiiii kofiii piga mtaaaaaa chiniiiiii ...nyanyuka wewe Liverpool somaaa hiyoooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wengine sijui wanamatatizo gani..sisi tuna makombe mawili tayari...na tuna Fainali uefa lkn bado mtu anaona kama tunalingana na mwenye kakombe kamoja...Imagine being us
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mke wa salah ni fashionister? Nini hiko kavaa sasa? Au stress za kukosa ubingwa? Woiiiiiiih
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…