Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Teh teh teh teh one season wonder khaa mjajiju..

Salah msimu wake wa kwanza alikua mfungaji bora EPL sasa Kane kuona vile akasema oooh fanya tena uwe mfungaji bora msimu unaofuta haha na Salah tangu hapo hajawai kurudi nyuma..

Sina hakika kama tangu Salah atue Liverpool huyo Kane amekua mfungaji bora EPL yaaani dogo alikuja na mission kali sana.

LETS APPRECIATE THIS TALENT. 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…