Leeds hawana cha kupoteza kwetu hivyo tutegemee gemu ngumu sana endapo tutawapa nafasi.
Vipi wakuu leo kikosi mnasema aje. Naona dogo Jones kapata nafasi adimu sana leo.
Thiago na Jones wanachakata mpira, kupoza joto na kuweka mipango. Hawa kazi yao leo kuu ni kupunguza utegemezi wa Trent na Robertson upande wa kutengeneza nafasi za kufunga.