binafsi simtaki balo kwa kulinganisha na aliyetoka balo hajawai kufikia kiwango cha suarez alichokionyesha msimu uliopita, jamaa sio mpiganaji ni lizito sana
Mkuu MosDef, sioni sababu ya mtu yeyote kukimbia hapa, kila mtu ana uhuru na haki ya kuwa na mtazamo wake juu ya jambo lolote, sidhani kama kuna atakayekimbia hapa iwe nyie mnaomkubali Ballo au wale tusiomkubali.... Hatoki mtu hapa!!! YNWA.Hivi jamani itakuwaje kama MB akizigomea hizo Behaviour clauses??? Na deal ikavunjika???
Hahahahah!!! itakuwa ni BOOOONGE ya BANTER!!!!!!!!!!
Nitaikimbia JF kwa mwezi mzimaaa, na hizi mbwembwe tulizozipiga humu leo!!!!!!!
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.
Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
Haaahaaaa, Uuuuuuuuuwwwiii! Sasa mmeamua kuturusha roho kila siku?! Et'oo tena! Hii ikigeuka kuwa kweli.... Bila shaka wanajua wanachokifanya...
Naomba nisahihishwe kama siko sahihi.....mahesabu yangu ya harakahara ni kama ifuatavyo:-
- Man United: Shaw, Herrera, Rojo £76m
- Liverpool: Moreno, Lambert, Lovren, Manquillo, Can, Balotelli, Marković £80m
Actually we spent wisely.....YNWA
but,but...where is Lallana and Origi?
Time for Balotelli to go for a master class in scouse accent.
Dk Zaf yupo tayari kabisa kwa ajili ya Medical tests..huyu bwana akisimamia Medical ujue ni siku nzimaaaa hiyo!!!!!..ukipita hapo ujue huna tatizooooo!!!!
Mkuu,huo mshahara unamlipa wewe? Acha apige mpunga,hela si ya wazungu ile? Wewe inakuuma nini?
Yaani hapa unajaribu kutuonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyokua mdogo.
Katika maisha ya kawaida kila binadamu ni unique by nature,ndo maana kama wewe unaitwa NGUVU basi tambua kwamba huwezi kufanana na Amanijua hata kama mnafanya kazi moja,mnakula pamoja,mnaishi nyumba moja au mumezaliwa sehemu moja.
Na hata kama kuna mtu mwingine anaitwa NGUVU basi tambua kwamba hawezi kuwa sawa na wewe kwa vitu vingi sana.
Suarez ni mchezaji,amezaliwa Uruguay,ana miaka 28,ni mweupe,anapenda kung'ata,ni mchoyo,ni mfupi,ana watoto wawili,ana ndoto za kuchezea barcelona na mengine mengi,lakn Baloteli ana miaka 24,ni mrefu,ana mtoto mmoja,ni mtukutu,mkorofi,anachezea Italy na mengine mengi.
Nimeandika hivyo ili kuweza kukuonyesha jinsi gani binadamu wanavyotofautiana.
So habari za kulinganisha mtu mmoja na mwingine ni ufinyu wa mawazo,maana kuna mengi ambayo MB anayo Suarez hana na yapo ambayo Suarez anayo lakn huwezi kuyaona kwa Baloteli.
Mwisho ni kwamba mpira ni biashara na wapenzi wa timu tutabaki na liverpool yetu hata kama mchezaji fulani ataondoka kwa kuwa ndo biashara ilivyo.
eto'o naskia amepewa mkataba wa mwaka mmoja jamani hizi habari zina ukweli?
eto'o naskia amepewa mkataba wa mwaka mmoja jamani hizi habari zina ukweli?
METRO - Mario Balotelli takes £60,000-a-week wage cut in order to make Liverpool transfer - http://t.co/7dkwVbMc2s #mediawatch