Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Duuh wamekusikia.Leo nimuonee huruma Arsenal! Natamani ashinde ili awe juu ya Manure
Tupige 5 na hawa aseeAisee dakika ya 4 Captain Henderson anapiga la kwanza...
Assist kutoka kwa Salah.
YNWA
walikuwa ni burnley ...Hawa Brighton ndio walitupiga hapa hapa nyumbani kufuta rekodi yetu ya kutofungwo mechi 68...
Tuna jambo letu.
YNWA