Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Leta gif aisee...Mpo vizuri ila mb ni tatizo. Nastaafu kwa muda kuleta GIF
Sorry wakuu
Yuko benchiiNawajuavyo hawa jamaa za Wanda sio wa kuwapangia akina Milner
Hivi Fabinho ni majeruhi ama...
Leo ni leo...
Ollachuga Oc ebu kalale unatuletea nuksi ujue...
YNWA
Kelele za Salah kimyaaaaaa....Hakuna timu hapa
Akuu hatunaga chetu Spain aisee sijui tuna gudu lipi kule kheee ngoja tuone..Sawa unamatokeo mfukoni au tusubili uishe?
Aisee gemu hii jamaa wakishinda watakua na pointi 7 yaaani ilikua kama ni mzima aanze tumalize hii gemu mapema sana...Yuko benchii
About time Keita atoke aingine FabinhoGuys got to admit without Fabinho we are VULNERABLE at the back yaaani...
YNWA
Bwana wee Klopp mbele ya Henderson na Milner hanaga neno sijui jamaa ndio walimvuta atue Anfield 😂😂😂😂thinking around aisee maana Milner, Keita ni wazito mno sasa weka mix hapo Henderson ndio kabisaaa...Vipaji vya atretco na Milner wapi na wapi kama tukishinda basi msimuu huu wetu
Keita got passed twice and twice Wanda has scored...About time Keita atoke aingine Fabinho
Salah anawaumiza eeh?Atletico Madrid zima hizi kelele za Salah ,Salah ,Salah ....
Hatupumui mtaani aisee...!!!
Tatizo la Liverpool hawawezi kabisa kulinda goli.......inabidi mastriker wenu wafunge magoli zaidi ya tano kuendelea ili Mbaki salama.Tunashukuru sana ndugu vijana watapambana kupata pointi 3 muhimu leo tumalize mzunguko wa kwanza na pointi 9 safi kabisa...
YNWA