Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Ahaaah Mkude kwa Klopp mbona anakuwa noma kama Fabinho tuKwanini tusije kumsajili japo Mkude asiyetakiwa na Simba?
Wewe pambana na Timu lako lililochoka likabinuliwa na chelwowo mara 3 mfululizo.Hii timu inatia hurumu ,haki huu msimu humu ndani vilio vitajaa ,..
Yaan mnaanza new season vvd na gomezi ndio new signing ,hivi mpo na akili timamu ...
Mtajuta kuingia uwanjan ,walahiii
Baada ya kipigo cha Chelsea Bado akili haijakukaa sawa tu.....Hii timu inatia hurumu ,haki huu msimu humu ndani vilio vitajaa ,..
Yaan mnaanza new season vvd na gomezi ndio new signing ,hivi mpo na akili timamu ...
Mtajuta kuingia uwanjan ,walahiii
Liverpool nayo ni timu kwan,subuli msimu uazeeBaada ya kipigo cha Chelsea Bado akili haijakukaa sawa tu.....
na karius[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbushia tu kuwa Adrian yupo Liverpool kusaidia kupigania Ubingwa