Si nimeona mko linked na Kingsley Coman
Gossip Mill.
LIVERPOOL MAKE MBAPPE ENQUIRY
Liverpool have enquired about the price of PSG forward Kylian Mbappe, according to Spanish newspaper Marca.
Mbappe has only one year left on his current deal, and is yet to sign a new deal offered by the hierarchy in Paris.
My Take : naona sasa huu utani jamani. Yaaani hawa FSG ndio watoe mpunga kumnunua huyu dogo na wampe mshahara wa Β£400k kwa wiki! ππππΏ.
YNWA
Naona wanakosa cha kuadika kuhusu transfer za Liverpool wantuletea haya mambo yaani kama vile soko bado halijafunguliwa...Boss hakuna kitu kama hicho kuhusu Mbappe! Ni Maparody ya Twitter tu ndiyo yanayotangaza ujinga huo.
Hivi huyu Captain si alikua mgonjwa hata Euro 2020 kuwepo ni PR tu kwa kweli.Yani hata mbele ya Kalvin Phillips na Declan Rice Captain wetu Maestro anasugua Benchi then tunaambiwa ni best Midfield.
Nyie ze blauzi hivi Mara ya mwisho kuchukuwa EPL ni lini tena30 Years Loading View attachment 1834969
Nyie ze blauzi hivi Mara ya mwisho kuchukuwa EPL ni lini tena
Msimu ujao ndio mara ya mwisho.
Khee pure doppelganger.Huwezi kuamini huyu Jamaa sio KLOPP
Timu zote zenye wachezaji wa Chelsea zaidi ya watatu Euro zimetolewa..hadi England inawaweka wote Bench.