Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hakuna raha kwenye football kaama kuwapiga man u [emoji23][emoji23]Nawatamani sana manyumbu aisee..mimi huwa raha yangu inakamilika tukiwafunga wale manure...
Na hivi kikosi ndo kinakamilika, lazima wakae nje ndani msimu huu
Na wasiwasi sana Thiago na Jota jumla upfront haizidi £10m[emoji23][emoji23][emoji23]Lakini kwa £45M dah!
You are just a stupid person
Hakuna haja ya kumu attack mtu out of nowhere uonekane unajua
Rubbish
KAHUSIKA na ndo maana sehemu nyingine wanasema jota kaja kwa 35 badala ya 45 maana wa akuwa wametoa Ile 10 ya ki jana.
Kafungua ukarasa na 3 ni mwanzo mzuri..Hahah kweli kabisa hata wakiwepo kesho poa tu[emoji38]
M namtabiria Mo salah msimu huu anapiga 50+ goals ashindwe yeye tu.
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Nakwambia asa Gini akae nje haha no wonder gossip says he want join Catalans..Hii haitakaa itokee! Yani kumtoa Mtoto wetu pendwa kwenye kikosi cha kwanza?
Kasome vizuri kwa makini.KAHUSIKA na ndo maana sehemu nyingine wanasema jota kaja kwa 35 badala ya 45 maana wa akuwa wametoa Ile 10 ya ki jana.
Uyu Thiago tuna uhakika epl lazima itamshinda. Uku siyo Bundesliga watoto wa leeds watamtoa udenda..Mkuu, [emoji3514] naõna umepata nguvu,
[emoji1787] [emoji1787]
Hongereni sana, kwa kumpata huyu fundi mpiga vibao mpìra, najua tutapata tabu ila na burudani pia tutaipata[emoji23][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Napênda anavyotema kushoto na kufukia kulia, NYIE.. [emoji119]
Welcome fundi Thiago
kwanza bei ni 40 plus 5 adds on......... pili hata Mane alikua anaingia na kutoka 1st 11 ya soton.............45 kwa jota mmepigwa !!! Namuona minamino mwingine tu hapa, anaenda kukaa bench !!!!
Mtu alikuwa Hana namba kwenye kikosi cha nuno, liva mnashangilia kumpata ? Takwimu zake Ni za kawaida Sana, pengine umri wake bado (23), ana uwezo wa kudevelop zaidi ! Anaenda kumweka Nan bench pale ????? Huyu Ni back up player tu !!!
Mnashangilia eti 45 inalipwa kwa instalment, yes hata kama lakini si mtailipa ?? Hata ingelipwa ndani ya 20 yrs!!
Mngesajili walau mtu anaeingia kwenye kikosi direct Kama THiago !!! Wacha tusubiri ,,, jota sio mtu anaeweza kuwapa 20 goals na walau 8 assists per season !!
Thiago mmelamba dume, hapo shida Ni injury tu! Hawez cheza mechi Saba mfululizo , ila akiwa fit anakiwasha haswa !!
Salah 28yrskwanza bei ni 40 plus 5 adds on......... pili hata Mane alikua anaingia na kutoka 1st 11 ya soton.............
subiri huyu nae anaenda kuwa moto hatari,
Hahahhakweli chief ni vizuri kuulizana kama wote tupo maana hii corona iliyopita du!
kabisa kabisa mkuu........Salah 28yrs
Mane 28yrs
Firmino 28yrs...
Jota 23 yrs
Takumi 25yrs
Ni muhimu sana kua na mipango huku tukitazama future...
Ile kazi inayofanywa na Edwards na Ian Graham sio ya kitoto ni data na research ya uhakika...
YNWA