Nilikuwa na jamaa yangu hapa Shabiki wa Nyumbu yeye mwenyewe kashangaa hili .
Unakumbuka ile mechi ambayo ManUtd walitufunga mbili moja wayback msimu wa 2017/2018 ?
Tangu lini Liverpool inategemea viungo kushinda Mkuu,Our Fullbacks and Front 3 ndio huwa zinatupa Result wakiflop hawa ndio basi lkn sio Midfield.Unakumbuka ile mechi ambayo ManUtd walitufunga mbili moja wayback msimu wa 2017/2018 ?
Haya sasa subiri,, hii game kwa kumtegemea Hendo kama Holder midfielder kwa hawa ambao dunia nzima inawajua kwa kupaki basi nasema kushinda hii game ni suprise
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina wasiwasi kabisaMmeanza visingizio..kaangalie mechi wewe,mke yupo tu