Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anakukomesha

Na wewe pia unataka uitwe mshabiki wa mpira wakati una kauli za kipumbavu kama hizi.

You've to change Dogo uendane na wakati, Jitihada is not destination, ni journey! Mchezaji tunampongeza kulingana na anachokifanya uwanjani.

Anachokifanya sasahivi kinaonekana na kila Mtu kuwa he's doing something strange na wala si kukomeshana! Tumia kauli za kimpira wengine sisi si wa kutumia kauli kama hizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…