Ok vizuri ni mtazamo piaAaa hapana ndugu Steve bado sana CV yake ya ukocha ni nyepesi mno sipo sure kama alipo ataongezeka zaidi ya ilivyo sasa...
Tunaposema Liverpool sio mahala pa majaribio tena tunamaanisha mpaka idara ya mwalimu pia sio ya kupewa amateur coach hapo bila shaka tutakua tunarudi nyuma baada ya continuation ya atakapotuacha Klopp..
Moyes alijitahidi sana kwa bajeti finyu kuwarudisha kwenye makali Everton lakini aliishia kua wa Big 10 mara nyingi, kwenda Manchester United ilikua kwake ni kama yupo ndotoni maana ile kazi ilimzidi Kwa kila jambo matokeo yake waliona haziwezi hivyo akatimuliwa...
Steve hajafika hata robo ya Klopp apate hio direct ticket kuifundisha Liverpool maana kua club legend ni jambo moja na kufundisha Kwa kumleta mafanikio ni jambo lingine...
Otherwise ana misimu minne kutuhakikishia hii kazi anaweza akipewa...
YNWA
Hahahahahaha muonee huruma aisee ...we dont need him, aendelee kuumwa na mgongo..
Tatizo la chelsea hawana kocha mzuri
Huyo Baunsa wa wolves abaki huko huko. Ni wa kawaida ukiacha mbio zile. Kama salah akiondoka najua kloop ataleta mtu but sio huyo adama. Ambae hata wilson kamzidi magoli na assistsKlopp will make Traore a Ballon 'dor contender I tell you!
wachezaji wengi aliowakuta au kuwaleta Klopp walikuwa wa kawaida tu kuliko hata Traore. akawabadilisha kuwa world beaters.Huyo Baunsa wa wolves abaki huko huko. Ni wa kawaida ukiacha mbio zile. Kama salah akiondoka najua kloop ataleta mtu but sio huyo adama. Ambae hata wilson kamzidi magoli na assists
Sent using Jamii Forums mobile app
wachezaji wengi aliowakuta au kuwaleta Klopp walikuwa wa kawaida tu kuliko hata Traore. akawabadilisha kuwa world beaters.
Umemkosea sana heshima PaisleyMkuu huwezi jua uenda Hendo akapitia njia ya Paisley .. Paisley naye alipewa ukapteni kutokana na amsha amsha yake nje na ndani ya uwanja ..maana ye alianzia kuwa a team physiotherapist na kuja kuwa a reserve team coach mpaka alivyokuja bill shankly akamjumuisha kwenye benchi lake la ufundi ,
U never know labda Steven akichukua jukumu akamjumuisha pia history ikajirudia , Steve to become a new Bill shankly and Hendo to be a new Paisley..( am just dreaming [emoji41])
#Futurepost
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuPC yangu leo imeanguka na kuharibika kabisa completely.
Kops naomba connection kwa yeyote yule alyepo Dar ninapoweza kupata PC kwa uhakika.
Kama upo Dodom au Mkoa wowote ule wa Kanda ya Kati (Shinyanga, Dodoma, Manyara, Singida, Tabora, Morogoro) pia tunaweza kufanya Biashara.
Kama ni Arusha kuna Duka zinapatikana pia tutafanya Biashara.
Mazungumzo yote tuongee Inbox.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Msaada kwa Kop anayeweza nisaidia pata kununua ticket ya second hand.,ni dhamira yangu kwenda anfield kucheki game hata kama game ndogo season hii.
Maguire anafanya nn hapo?
Utawalaumu bure , hilo kombe kama mfatiliaji mzuri , Liverpool hasa klopp hajalitolea macho sawa na Carabao , Yupo kama King Ngwaba wanayaita mickey mouse , na nimesikia mech ya marudio hawaweki Senior players na benchi anaweka kocha wa U23 .Litimu lenu jana limeninyima hela aisee[emoji23][emoji23]
Aaa hapana ndugu Steve bado sana CV yake ya ukocha ni nyepesi mno sipo sure kama alipo ataongezeka zaidi ya ilivyo sasa...
Tunaposema Liverpool sio mahala pa majaribio tena tunamaanisha mpaka idara ya mwalimu pia sio ya kupewa amateur coach hapo bila shaka tutakua tunarudi nyuma baada ya continuation ya atakapotuacha Klopp..
Moyes alijitahidi sana kwa bajeti finyu kuwarudisha kwenye makali Everton lakini aliishia kua wa Big 10 mara nyingi, kwenda Manchester United ilikua kwake ni kama yupo ndotoni maana ile kazi ilimzidi Kwa kila jambo matokeo yake waliona haziwezi hivyo akatimuliwa...
Steve hajafika hata robo ya Klopp apate hio direct ticket kuifundisha Liverpool maana kua club legend ni jambo moja na kufundisha Kwa kumleta mafanikio ni jambo lingine...
Otherwise ana misimu minne kutuhakikishia hii kazi anaweza akipewa...
YNWA
chief, ukifuatilia humu utakuta baadhi yetu tumekuwa tukimfuatilia huyu dogo kitambo kutaka atue Anfield some day.Its fair
Man united walimnunua Ronaldo baada ya kuwachambuachambua mabeki wake
Mourinho alimnunua Drogba baada ya kumchambua mfumo wake na minguvu yake,
Same path
Dah pesa mingi sanaaa ingekua ata 20 huenda tunge beba huyu afaa mnooo dakika 30 au 20 kuamsha amsha hakabiki kibwege huyu namkubali pia ila si kuziba pengo la mtu