Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Keita dah! Paleanapoonesha mwanga ndiyo anarudi Kitandani.

Na hii injury ya Misuli ya Mapaja (Groin strain) ni nuksi sana.

Huwa inakueka nje mpaka wiki 6 au zaidi
 
View attachment 1311748


Sent from my iPhone using JamiiForums


Huyu Mwamba ameitransform mwelekeo mzima wa Liverpool kutoka Laughing Stock to most feared football club kuwahi kutokea katika hii Sayari.

> Look at this season ya 15/16 without him tuliconcede magoli 50



> Season ya 2016/17 without him tuliconcede magoli 42.



> Season ya 17/18 with him only Half a season, tuliconcede magoli 38.



> Season ya 18/19 with him full season tumeconcede magoli 22.



This Man anastahiki kujengewa Sanamu pale Anfield.

Naweza kusema anastahili kila Credit ya kuwa Ametubebesha EPL baada ya miaka 30.
 
Adrian & Takumi wanabahati zao

Adrian alikuwa unemployed tukamsajili then a week later super cup winner also club World Cup winner

Takumi come this January then boom May he'll be PL winner, God bless us this trophy [emoji1545]

A lot of rough ride to our team but now we are champs, wanatufanya tunatamba hata ukiona fixture against city unajikuta huna hofu kabisa

Am just late but let me wish all of you expected & unexpected success in this new year
 

Same as washabiki wanaojoin now.

Kuna mmoja hapa chini

 
Would you like to see Buendia at Anfield ?
i think he will be a great substution if he comes to liverpool next season..
View attachment 1311431

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp ametega endapo wakishuka Daraja basi chap kama ilivyokua kwa Gini ilivyo shuka Castle Daraja akafanya lake na pia Robertson wakati Hull wameshuka Daraja akachangamka chap...

Norwich if they go down kuna wachezaji wawili pale watatua Kwa Majogoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…