Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bobby kafunga Goli akatufikisha Fainali

Bobby kafunga Goli akatupa Kombe

But Tutasikia Misifa ya kumwaga Kuwa Captain Hendo katupa Kombe

Rekodi ya kwanza hiyo kwa usiye mpenda,kanyanyua ambalo wengi walishindwa nyanyua!
Sasa anakupa aibu zaidi EPL,May analinyanyua na kuwa best Captain ever to lead Modern Liverpool club


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wana Liverpool HALISI tuachane na upuuzi wa Liverpool feki wanao tukana wachezaji wetu!
Sisi tuzidi shangilia mafanikio,Mungu ni mwema sana kwetu anatupa tunacho omba!
Najua vijana wamechoka sana hasa baada ya hizi dakika 120 LKN tukimpiga LC Alhamisi tumechukua EPL


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…