nitawalaumu daima DM,hakuna kitu pale! Na sikuona 7bu ya SG kucheza DM wkt tunaongoza 3,SG sio natural DM,tatizo letu ni hapo2,hebu angalia,tunacheza 4-1-3-2? Unamtegemea gerald asimame peke yake kati? Uliangalia game yett na swansea? Makosa yaleyale ndo kama haya ya leo.
GJ,sio mbaya hivyo,sema hatakiwi kuwa kwenye 1st eleven ya lfc! Yule mchezaji ni wa kukaa benchi kbs,agger akiondoka itaniuma sana!
. mkuu Rogers akili zake Kama Wenger anatizama kucheza mpira kuliko kukabisha anahitaji fundi msaidizi wakufundisha Hilo kwa msaada Mie simlalamikii Rogers ni Manager Mzuri anaonekana na kaitengeneza timu vizuri wachezaji ndio wenyewe nao wakufikiria so Captain naye sababu kawekwa kwenye ile sehemu nitakwambia kwanini, 1. SG anawekwa pale sababu Hana Speed tena na Hana uzungukaji tena Hana Nguvu atulie acheze Middle zengine ndio ziangaike so SG Ana nusu ya lawama yeye alikuwa a wapange Middle wenzake timu imefanya vizuri SG kuchezeshwa pale angekuwa yeye ndio Anazunguka kila siku tungefungwa watu wangetaka kumpa mpira yeye tu SG so Rogers nampa heshima kumuweka SG ile nafasi SG ndio wakulalamikiwa hajamuamsha Lucas Huyu Lucas ni Lazy kwa umri wake tizama Handerson anavyohangaika hata joey Allen hafai ila bora yake kuliko Lucas ndomana nikasema Middle zenye Nguvu Muhimu sio skill tu na nafurahia watu wanaona ukweli lawama za nani hakuwepo nani ameumia hakuna ndio football wote wanasajiliwa kucheza football Mie napenda middle. arsenal Arteta anakatakata na mashuti nje Carzola anakatakata mashuti nje anapiga City Fenarndinho na Yaya toure wanafanya Hivyo Chelsea Ramires na wenzake wanakatakata na mashuti nje SG hawezi kufanya tena hayo ila anatakiwa kumsukuma Lucas awe Kama Handerson na watu wakufyeka kati ndio wanafanya mabeki waonekane bora inakuwa ngumu kufika mabeki, Arsenal walijifunza kwenye Hilo wamebakisha kujifunza kwenye Striker timu moja tu ilikuwa na kila kitu Chelsea kipa mpaka mabeki na Middle japo wanajifanya striker Hawana wanao ndio wamefanya utumbo, Rogers tu simlalamikii hata chembe bila Huyo tungekuwa na Carroll na Downing na SG ndio angekuwa mbovu Kabisa angezunguka uwanja mzima nusu ya game angeumia Rogers kayaona zamani mipira ingepigwa juu tu kwa Carroll na zsuarez angefunga goli 8 tu kwa Cross zilizokuwa hazina akiili. Watu wengi Arsenal Wanachoshwa na Wenger ila mabeki kajirekebisha so Rogers atajirekebisha muda wa Middle Wenye Nguvu ili SG a toke bench Lucas ndio sitaki kumuona.hakuna shabiki wa liverpool ambaye haipendi Liverpool..
Kama Kocha kachemsha lazima tuseme ukweli, kuwa kwenye hii gane ya leo BR ndo ametuua, Aliconstrate sana na kufunga, which ni kitu kizuri. lakini je kama umeshafunga magoal matatu, unafanya kitu gani kuyazuia, kwasababu wachezaji ndani wanacheza kulingana maelekezo ya kocha wao!!!
Goal 3 zinarudi ndani ya dk 9, afu unaniambia kocha hawez kulaumiwa kwa hilo???
we na mimi ni mashabiki wa Liverpool, Tunajua kwamba Partnership ya Skritel na Sakho haaijaleta clean sheet yoyote so far!!, kwa sababu tu haiwezi kudeal na presha ya mashambulizi, kwani wote wanatumia nguvu na Sakho hana exprience ya EPL, hasa kwenye game zenye presha kama hizi!!!
Centre-Backs, siku zote lazima kuwe na mmoja anaetumiwa nguvu kuzuia na mwingine anayetumia Akili kuzuia, ili kubalance ile pressure ya mashambulizi ndo maana man city kuna Kompany (nguvu), Demichelis, natastic (akili), na nadra sana kuona partnership ya Kompany na lescot pale City coz wote wanatumia nguvu, Arsenal kuna Koshienly (nguvu) na Per metasackar (akili)..ndo maana sahiv huoni partenership ya Konshienly na Vermalen, kwasababu beki anayecheza kwa akili na utulivu anaweza kutuliza mipira na kupoza pressure za mashambulizi..
Ukiongelea kuhusu central mids kupwaya nitakupinga..coz nakumbuka when Gerrard was injured, Partnership ya Lucas na Allen, Katikati, na patnership ya Agger na Skirtel, zilitoa Cleen sheet mbili, Katika game nne, na iliruhusu goal 2 tu..
Sometimes manager anatakiwa kuswitch kulingana na aina ya mchezo, kwa mfano leo, sikuona umuhimu wa Gerrard kuendelea kucheza katika Defensive role ile..
hata wewe ? Haya mkuu.
. mkuu Rogers akili zake Kama Wenger anatizama kucheza mpira kuliko kukabisha anahitaji fundi msaidizi wakufundisha Hilo kwa msaada Mie simlalamikii Rogers ni Manager Mzuri anaonekana na kaitengeneza timu vizuri wachezaji ndio wenyewe nao wakufikiria so Captain naye sababu kawekwa kwenye ile sehemu nitakwambia kwanini, 1. SG anawekwa pale sababu Hana Speed tena na Hana uzungukaji tena Hana Nguvu atulie acheze Middle zengine ndio ziangaike so SG Ana nusu ya lawama yeye alikuwa a wapange Middle wenzake timu imefanya vizuri SG kuchezeshwa pale angekuwa yeye ndio Anazunguka kila siku tungefungwa watu wangetaka kumpa mpira yeye tu SG so Rogers nampa heshima kumuweka SG ile nafasi SG ndio wakulalamikiwa hajamuamsha Lucas Huyu Lucas ni Lazy kwa umri wake tizama Handerson anavyohangaika hata joey Allen hafai ila bora yake kuliko Lucas ndomana nikasema Middle zenye Nguvu Muhimu sio skill tu na nafurahia watu wanaona ukweli lawama za nani hakuwepo nani ameumia hakuna ndio football wote wanasajiliwa kucheza football Mie napenda middle. arsenal Arteta anakatakata na mashuti nje Carzola anakatakata mashuti nje anapiga City Fenarndinho na Yaya toure wanafanya Hivyo Chelsea Ramires na wenzake wanakatakata na mashuti nje SG hawezi kufanya tena hayo ila anatakiwa kumsukuma Lucas awe Kama Handerson na watu wakufyeka kati ndio wanafanya mabeki waonekane bora inakuwa ngumu kufika mabeki, Arsenal walijifunza kwenye Hilo wamebakisha kujifunza kwenye Striker timu moja tu ilikuwa na kila kitu Chelsea kipa mpaka mabeki na Middle japo wanajifanya striker Hawana wanao ndio wamefanya utumbo, Rogers tu simlalamikii hata chembe bila Huyo tungekuwa na Carroll na Downing na SG ndio angekuwa mbovu Kabisa angezunguka uwanja mzima nusu ya game angeumia Rogers kayaona zamani mipira ingepigwa juu tu kwa Carroll na zsuarez angefunga goli 8 tu kwa Cross zilizokuwa hazina akiili. Watu wengi Arsenal Wanachoshwa na Wenger ila mabeki kajirekebisha so Rogers atajirekebisha muda wa Middle Wenye Nguvu ili SG a toke bench Lucas ndio sitaki kumuona.
Huyo Carra katika mabeki nilikuwa siwapendi na alivyostahafu basi hao uliowataja nakubaliana na wewe ila bado Mie naamini timu ukiwa na Middle katikati ya uwanja Kama Yaya Toure wanaojuwa kuweka ubavu na mtu kulala na mtu na mwengine kuvunjika play za watu Kama Handerson alivyokuwa anafanya then hapo Mbele ayo kukawa na Middle attack anayefunga magoli Kama anavyofanya Ramsey au Lallana Huyu Ramsey na Lalana nimewataja nyuma kuwe na Kama Yaya Toure na Fernandinho inamfanya mabeki wasionekane wabovu asilimia kubwa EPL timu zimeshinda sababu katikati ya uwanja kunakuwa Strong ile sana sana unabadilisha jembe linking ila jembe hata Kama nyuma kubovu wale ndio wnasaidia LFC ilikuwa inakila la Kuwa bingwa EPL winger strikers ndio UNited ilivyokuwa ndio Arsenal ilivyokuwa ndio City mwaka alioshinda wingers silva kina Milner na Middle beki wao alikuwa Mzuri ni Kompany tu na zabaleta United peke yake mwaka Jana tungeweka hawakuwa na Middle wao sana ilikuwa mabeki, winger Valencia anatoka mbio na evra anapanda Ahley young anakimbiza pembeni cross Van na Rooney magoli ila kumbuka Carrick alikuwa anakaa sehemu Kama SG anacheza nyuma na Phil Jones alikuwa anapiga buti ambaye safari hii kaumia Buti za Phil Jones kati zimesaidia na kushuka kwa Rooney Middle naye analala na mtu Sasa Yaya Toure Hana haja kulala na mtu anakuwa kea mwili anapasua mbio yuleeee ukiweka mwili wako umeumia Fenandinho Anarudi kwa nyuma inamfanya wale middle skillfull Wana relax Hawana haja yakukaba wachoke Nasri na silva Wana Relax na Sikwamba City walikuwa na mabeki wazuri huu msimu ni Middle zao zinasaidia mabeki wapumuwe wasifikiwe ovyo, Lucas anafanya masikini ya mungu Raheem achoke na Joey Alen achoke kwa kumfanyia kazi Lucas wakati SG kashakuwa kiraka sababu ya watu Kama Lucas na Aleyn hawaaminiki ndio bench hakai anachezeshwa wewe unafiki fi Manchester United wanapata tabu sababu Moyes? Ni katikati ya uwanja zile buti zimepungua kabaki Carrick tu na winger hazikimbizi ila hasa Middle ndio beki zinafikiwa ovyo. Bakharesa aje kumchukua tu Lucas.Beki yenu yote ni mbovu (Toure,Flanagan,Agger,Skirtel,Johnson) Caragher angekuwepo angewasaidia sana strength yenu ni foward,baada ya Henderson kufungiwa timu yenu imepwaya sana kwenye kiungo.Nilishasema bado mna kikosi kidogo mnahitaji wachezaji wengine wengi wa backup
Hahaaa mbona mnaandika ma thread marefu sanaaaa.fupisheni bana nyie vipi...timu hamna pale basi tu mnajikamua kamua....nilisema tatizo lenu mlishajiona mabingwa
yani jana tumedhihirisha hatukuwa na mpango wa ubingwa msimu huu,BR anawalaumu mabeki! Inexperince yake ndo imetucost wala sio mchezaji
Inexperience kivipi? Liverpool mlitakiwa mlibebe, inasikitisha kuruhusu kombe liwaporonyoke katika mechi tatu. Nawasikitikia kuliko navyosikitikia Arsenal yangu.
Hahahaha Ntuzu, kwa hiyo wewe Chelsea ikifungwa unahama team au???
Nimerogwa?