Ntuzu hongera sana,tulihitaji kushinda ila ile formation yenu ya 9-0-1 inafanya kazi kisawa sawa!
Gerrard kafanya makosa na Ba kayatumia ipasavyo.Ila yote kwa yote ni kuwa Chelsea kashinda na sisi bado tupo on top kwa tofauti ya point mbili dhidi ya Chelsea.

Wana liverpool wenzangu msikate tamaa sana kwani tangu mwanzo tulishaambiana kuwa kuchukua ubingwa itakuwa ni kama zawadi kwa kuyafikia malengo yetu tuliyojiwekea msimu huu.
Kitu kibaya kwa sasa ni kuwa ubingwa wetu upo mikononi mwa man city na everton huku ubingwa kwa chelsea ukiwa mikononi mwa liverpool,man city na everton.

Hongereni sana Chelsea,mechi yetu inayofuata ni dhidi ya Cardif City.Hii ya leo imepita kama zilivyopita zingine.

"Nlikuwepo":bolt:
Acha kabisa unajua ile advantage ya kuwa home ilinpa matumaini sana kiasi kwamba nikaamini chelsea wakbana sana basi matokeo itakuwa droo lakini imekuja kinyume kabisa!
Hahaaa adui mwombee njaa....City akishiinda mechi zote ndo Bingwa...Everton hana historia ya kuifunga CIty
Mkuu agosti 8 nafurahi sn kukuona ktk Uzi huu!
Naam. Sasa ni muda Wa kutoa hoja huru!
Wenzetu wanasema pengo la Henderson limeonekana Jana! Nini maoni yako hasa kwa holding midfields za liver na attacking mid? Maana kwa Mtazamo wangu kwa msimu ujao ndio wanaweza kua Vzr na Km wataongeza baadhi ya wachezaji.
Na pia nini maoni yako juu Brendan Rodgers ktk ufundishaji wake Wa mpira na aina ya mpira ambayo liver wanacheza?
Morinho noma,kauhamisha ubingwa toka kwa Liverpool kaupeleka kwa Man city
Tena ole wake aunt wao Josephine Maureen apange kikosi "dhaifu" leo.....yatawakuta yale yale ya 2012 walivyofanya kosa hilo!!
Check hapa... BBC Sport - Liverpool 4-1 Chelsea