Well!Football ni mchezo wa kutumia makosa.Tumefanya makosa wametumia makosa wametufunga.Kosa la Gerad ndilo lilimaliza mchezo.
Bingwa anayestahili ni yule anayefanya makosa machache.Ubingwa ulikuwa mikononi mwetu na sasa haupo tena.Hata tukipata points zote 6 kwenye mechi za mwisho bado goal difference yetu ni ndogo ukilinganisha na city.Tumezidiwa goal difference ya 8 mpaka sasa kwa gem yao inayoendelea.Inaweza kufika 10 au hata na zaidi mpaka gem hii iishe.So ubingwa ni kazi sana kwa kutegemea goal difference na city,ni kama vile haiwezekani.
Labda city apoteze au apate droo kitu ambacho na sisi pia hatuna uhakika wa kushnda mechi zote.So kwenye gem zilizobaki we have equal chances!
Otherwise leo ndo ilikuwa mwisho wa 11 successive wins.Mwisho pia wa kusema "tangu mwaka uanze hatujapoteza mechi"!
YWNWA 4rever....!
Otherwise leo ndo ilikuwa mwisho wa 11 successive wins.Mwisho pia wa kusema "tangu mwaka uanze hatujapoteza mechi"!
Hii gemu imeniuma sana asa iv kichwa kinauma ngoja nigonge action nipoze kidogo!
. Mkuu hizo ndoto naona unazo peke yakoMkuu huu msimu ni wetu dalili zote nishaziona toka mwanzo...ukae ukinua hao City wenyewe wapo under a very great pressure saivi.
Tare he 11 May LFC ndo watatawazwa mabingwa wapya wa Uingereza!
Game ijayo itakuwa ngumu sana kwenu
. Mkuu hizo ndoto naona unazo peke yako
Hata Mosdef mzee wa kujiamini hajiamini tena football is over kwa LFC msimu huu Kama iliyo over kwa man united ambao Yao yanaendelea sasa hivi ni Man City EPL na Arsenal na Hull FA Cup na Chelsea CL! Wengine kilichobaki tufurahi tu Europe haitokuwa kwenda Swansea peke yake safari hii LFC Kama ilikuwa kushinda Ligi ilikuwa ni kumfunga Chelsea LFC ni wakujilaumu hawajaitaka Game wakati Chelsea walitupa Game ya kushinda.
Mkuu huu msimu ni wetu dalili zote nishaziona toka mwanzo...ukae ukinua hao City wenyewe wapo under a very great pressure saivi.
Tare he 11 May LFC ndo watatawazwa mabingwa wapya wa Uingereza!
LFC ndio ijifunze hatakiwi Kuwa na hizo fikra za Nani akiumia zitakuwa Kama sababu why timu mnanunua then lawama turukie flani waliumia ndomana hatukushinda ni mambo ya kitoto tusiwe mashabiki wa Hivyo tunachotakiwa lazima kuwe na timu kuumia au red anayeshika nafasi ya mwenzake ni Kifaa pia japo mtu akishakuwa mkali timu zozote hawataki Kuwa bench Hendo alichoonyesha kitu kimoja waliofikiria ni Flop si a flop ni mchezaji Mzuri ila LFC haitakiwi kuitafuta sababu Kama Hiyo LFC tulikuwa tunacheza kwa uoga wawapi tupenye tumebabaika zile jezi za blue Mbele yetu kuliko nyavu au goli lipo wapi Presha hatuziwezi bado Sema msimu Kama huu ndio utatupa mafunzo ya kufanya vizuri Mbele.Sidhani kama ni zaidi yangu mkuu! Pengo la Hendo litaonekana daima...na hili ndo tatizo la kuwa na thin squad..!
LFC ndio ijifunze hatakiwi Kuwa na hizo fikra za Nani akiumia zitakuwa Kama sababu why timu mnanunua then lawama turukie flani waliumia ndomana hatukushinda ni mambo ya kitoto tusiwe mashabiki wa Hivyo tunachotakiwa lazima kuwe na timu kuumia au red anayeshika nafasi ya mwenzake ni Kifaa pia japo mtu akishakuwa mkali timu zozote hawataki Kuwa bench Hendo alichoonyesha kitu kimoja waliofikiria ni Flop si a flop ni mchezaji Mzuri ila LFC haitakiwi kuitafuta sababu Kama Hiyo LFC tulikuwa tunacheza kwa uoga wawapi tupenye tumebabaika zile jezi za blue Mbele yetu kuliko nyavu au goli lipo wapi Presha hatuziwezi bado Sema msimu Kama huu ndio utatupa mafunzo ya kufanya vizuri Mbele.
kwani iliwachukua miaka mingapi Chelsea ku win Ligi 24 au 50? Jibu ukweli mmoja kwa kuandika. Chelsea ilichukua miaka........24yrs and still counting.....khe khe khe keh khe khe khe khe
Mkuu...come 11th of May nitakukumbusha kuwa I told you ndoo ni yetu.
Am extremely positive! Subiri mechi mbili zijazo za City ndo utaelewa namaanisha nini... YNWA!
Inasemekana kuwa kabla ya kufungwa na Chelsea leo, timu ya mwisho kuifunga Liverpool kwenye ligi ilikuwa Chelsea.
Mkuu...come 11th of May nitakukumbusha kuwa I told you ndoo ni yetu.
Am extremely positive! Subiri mechi mbili zijazo za City ndo utaelewa namaanisha nini... YNWA!
hivi ushajiuliza what if tungeshinda leo,halafu next game na c.palace tukapigwa? Kila matokeo huja kwa sababu! I mean everything happens for a reason