Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Klop Kesha jiandaa kwa sare.
Anasema akitoa sare itakuwa POA.
Kila la kheri lakini leo nawatabiria mabaya.Klop anapata Tabu bure. Fabby acheze 6. Gin ampe 10 na Keita( if fizikale fiti) apige 8.
Kwa kuwa forward yetu ni Kali, Beki wa adui hawatapanda kuogopa spidi za mane Sala Bobby.
Wkt huo mido ya adui itarudi nyuma kusaidia backline yao.
Hiyo itakuwa advantage kwa liver kwa full backs kuongeza mashambulizi kupitia flanks.
Mwl anachachawa hofu woga.
Bench Kuna Origi milner Ox lallana. Xhakir.
Centre back zetu ziko vizuri. Klop aache uoga.
Tukitoa suluhu si mbaya sana kuliko tukifungwa, hata hivyo kiona mbali kinaonyesha mechi ya leo itakuwa na goli nyingi sana, ila ushindi kwa 95% unaenda kwa majogoo.
Not even 50%
ni sahihi nyuma na mbele we are settled labda itokee injury...but the boys playing in those position keep getting better and better√ Ukiangalia Front 3 yetu imedumu Constant kwa takriban misimu mitatu sasa.
MANE - BOBBY - SALAH
√ Beki yetu pia ipo Contstant kuwa kila game unless patokee injury
RBBO - VVD - MATIP - TAA
√Lakini ukiangalia Mido yetu mpaka leo bado inachange hakujawa na ile Mido Constant FXI why? Hii ni kwasababu Hata yeye Klopp anajua kuwa ana shit Midfielders ambapo kila wakati anajaribu kuibadilisha kutazama ni combi ipi itaperform vizuri lakini anaishia kukosa ubora wa uhakika. That's why huishia kuangukia palepale kuwa GINI-FABI-HENDO.
Mfano wa Mido Klopp anazohangaika nazo
• GINI-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-HENDO
• KEITA-FABI-GINI
• GINI-FABI-OX
• OX-FABI-HENDO
• MILNER-FABI-HENDO
• LALLANA-FABI-HENDO
At least FABINHO ndiyo ameweza kujihakikishia namba kwenye Timu
bwana wee tangu msimu uliopita mechi yetu vs Manu Klopp pale Traford akatuwekea Lallana hua najiadaa mapema kwa Mido usiyotarajia...[emoji16][emoji16][emoji16] leo umemkumbuka lallana ..
Naby is a sad storyKlopp on Keita: “He is close but the matchday squad is not yet the target,” said the Reds boss. “It is a few sessions training with the team.
“We’d only put him in [at Chelsea] if we didn’t have enough players but I hope we will have enough players for the matchday squad. Wednesday is the target I will say and then we will see.”
akiwa Norwich we showed interest lol haiku mature Foxes wakamnasa chap...Jk afanye mpango kwa Maddison kwa kweli..
Kila la kheri lakini leo nawatabiria mabaya.
Tafuta pahali pa kujificha wacha kuzurura huna Timu ya kishindana na Liverpool
Diih kweli na waingereza bei zao hatari...Lesta watataka around £75 - 80M jambo ambalo Klopp sidhani kama atakuwa tayari kutoa kwa Mchezaji ambaye bado hajaprove his class
[emoji16][emoji16][emoji16]bwana wee tangu msimu uliopita mechi yetu vs Manu Klopp pale Traford akatuwekea Lallana hua najiadaa mapema kwa Mido usiyotarajia...
Mancty yatataka sifa Tena Kama mahrez walivyomng'oaakiwa Norwich we showed interest lol haiku mature Foxes wakamnasa chap...
kumtoa pale si pungufu ya £50m na itakua vita Manu, Manciti, Spurs na sisi...
Hapo sa..sare mtu anayetaka premier league!!?Na wewe umeamini hivyo kuwa alichokisema ndiyo alichokimaanisha? Ukocha ni taaluma na ndiyo aliyotumia pale kuwachezea Mind game Chelsea
Hahahahahahahahah umetisha Man.Kama kawaida leo my best Line-up:
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - FABI - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ADRIAN
Bench napenda wawepo:
KELLEHAR
GOMEZ
LOVREN
MILNER
AOC
XHAQIRI
BREWSTER
hawamuachi huyu ndogo with Silva departing end of this season its makes sense Pep to buy this boyMancty yatataka sifa Tena Kama mahrez walivyomng'oa