Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wanakwenda tena liva palee gooooo..., liva wanaandika bao la 3 hapa dakika ya 61.
 
Suarez anafanyiwa faulu mbaya ila anaendekea.
Na skrtel anapewa kadi ya njano
 
Liva wametulia sasa baada ya kupata goli la 3 sasa wanacheza kwa kujiamini ila nor wanakuja sana.
 
Hawa jamaa hawatabiriki kabisa, hapa dk 90 ndiyo itaamua hili game
 
Hapo Mkuu ndo huwa nachoka timu yangu. Ila tumetupia cha 3 Sterling! Sasa hili sijui litahesabiwa kwa Sterling au OG!

Ndiyo mpira ulivyo kaka, kila timu ina mipango yake na kila timu inataka kushinda kwa hiyo kushambuliwa ni kawaida
 
Halafu jamani kuna tangazo la guiness naliona kila likiwekwa linaambatana na picha ya Mateo, hebu nijuzeni anahusika vipi hapo?
 
Hii ndoo msimu huu tunaondoka nayo

Lakini acha tu tumesota sana
 
Tumepigwa cha pili tena! Tusipoangalia tutaambulia draw hapa!
 
Goooo... Haya wakati nasema mchezo umebalance ghafla vijana wa Norwich wanaandika bao la 2 dakika ya 77.

Nor 2 - 3 Liv
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…