Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Frustrated football fans staged a protest at the home of the Liverpool star in Conakry.
Naby Keitaβs house in Conakry, Guinea, was attacked by angry youths at the weekend.
The frustrated group was reported to have accused Keitaβs relatives of "witchcraft".
Kwani dirisha la usajili limeshafungwa?Man City anazidi kujitengeneza baada ya kumchukua Rodrigo
Sisi tumeridhika na dogo wa U18 (inexperienced 17yrs old CB) aje apambane na kina Aguero, Steeling, Aubamyang na Kane.
Kwani dirisha la usajili limeshafungwa?
Hata tusiposajili tutaendelea kuwapiga tu wapinzani wetu, amini hivyoAsante kwa kuniaminisha kuwa tunasubiri siku ya Deadline ndiyo tusajili.
Hata tusiposajili tutaendelea kuwapiga tu wapinzani wetu, amini hivyo
So sad bro!!! My favourite lfc player anaharibiwa na injuries..Hapa kwa Keita hatuna mchezaji! Yani jamaa hachezi game game 3 mfululizo bila ya injury.
Lallana wa pili huyu.
Kipaji chake kinaangamizwa na injury.
Keita anawza kuwa Next Sturridge or Lallana too many injuriesSo sad bro!!! My favourite lfc player anaharibiwa na injuries..
Nimemuangalia akiichezea Guinea kwenye AFCON ila hata zile dribbling zake zimepungua na killer passes,,, cutting through the opponents defense.. I hope atapata muda wa kujipanga
hatuna mtu kama Ndombele jamaa ni bonge ya midoA big NO!!
Midfield inahitaji additions
Liverpool set to keep hold of Lovren despite ongoing transfer speculation, nimeshajiandaa kisaikolojia.
sahihi guy has potential ila sasa majeruhi kama yote...nimekua nikimfuatilia na nimegundua instinct zake uwanjani pia zinamwangusha sana maana hajui wapi apoe, wapi akimbie, wapi akwepe tackle,wapi adribo, wapi atoe pasi akiwa under presha na hatimae kuvutia tackling na hapo ndio anaumia..Hapa kwa Keita hatuna mchezaji! Yani jamaa hachezi game game 3 mfululizo bila ya injury.
Lallana wa pili huyu.
Kipaji chake kinaangamizwa na injury.
wangemtoa hata bure...Β£900,000/= kwa wiki tunamlipa na muda mwingi pancha...aodoke huyu...Liverpool set to keep hold of Lovren despite ongoing transfer speculation, nimeshajiandaa kisaikolojia.
hii ndio Afrika OG...Frustrated football fans staged a protest at the home of the Liverpool star in Conakry.
Naby Keitaβs house in Conakry, Guinea, was attacked by angry youths at the weekend.
The frustrated group was reported to have accused Keitaβs relatives of "witchcraft".
Kwahiyo vibora haviuzwi, wakati twawauza akina Torres, Olonso, Macherano, Suarez, Countihno, Sterling n.k hawakuwa bora?Kama hukumbuki maneno Yake Baada ya World Cup nadhani utakuwa umeshasahau kuwa 'Yeye ni Best Centre Back in the World'. Kwanini tumuuze beki bora? ππππ