Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp saying this is the first step for many more great years ahead..cutting down Citi 25 points from last season gap to a single points is just wonderful...

we need to build properly sio bla bla tena.
 
Ndio Olla na msemo umebadilika kutoka kwa we shall never walk alone, imekuwa" we shall not be moved " baada ya CL final tutabadili msemo
Poleni sana majirani.ila mkishindwa mpira msianze kuombea wenzenu nao washindwe.
 
Tarehe1 june muwe tena hapa kutupongeza msiwe mnakimbia sasa
 
Ni ngumu sana spurs kuwaacha ucl,

Kufika tu final it was a miracle for them, so will play do or die
 
We jipe moyo nawapenda sana sababu ya kujipa moyo
 
Sio kweli,mbona mlikuwa vizuri tu huu msimu?hapo tatizo kuu ni bahati tu na asiye na bahati habahatiki.....ila ipo siku mkuu,maana wale majirani zangu wa kule london bluu bluu nao walikaaga 50yrs....end of the day ikawa na leo hii nao wameota majipu ya makwapa ....

Mimi naamini liver hii kama haitauza key player wake na ikafanya usajiri wa maana kuziba gapes zilizoonekana msimu huu na kupunguza makapi...hakika mwakani mtasheherekea ubingwa.....

Mwaka kesho tutakuwa wa pili tens, nafanya booking ya nafasi ya pili mpaka Pep atakapoondoka.
 

Hahaha, ngoja tuone itakuwaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…