leo ndiyo ile siku ya yule mwana yanga wa premier league kule england kuupisha ubingwa nakumuachia nafasi jogoo achukue utawala wake...
NOTE:Kwakuwa yanga alichapwa kulingana na utabili wangu yakinifu ,barca naye akachapwa nikiwa kwenye harakati za kukamilisha utabili leo pia tutegemee mazuri ,tukimshuhudia mwana marundi wa ETIHAD akiwa hoi [emoji483][emoji483][emoji483][emoji483]
utaelewa vizuri baadaye......kipi kinachomaanishwaRight of expression & opinion
Tumia Haki Yako
utaelewa vizuri baadaye......kipi kinachomaanishwa
Then liverpool goes 1:1Brighton vs City will end up 2-2 late equalizer
I don't know about our game lol
Kipigo walichokipata ni kikubwa kuliko uwezo wao,maumivu yakiwaisha watarudi tenaNaanza kupunguza list ya ignore maana naona wale midomo michafu wameikimbia hii thread.
hii siyo ramli.....ila hapo sawaUnachokimaanisha Ndiyo ninachotaka kitokee lakini huwa siamini Ramli
We jamaa ni shabiki wa timu ganiHivi nyie liverpool mnawajua wolves,
Au mnadhani mnaenda kuchukua point tatu, kama mnachukua maperaa
Ni swala la muda tu yatakayowakuta hamtaamin
TOT context, sio dot wala blaablaaUnakataa ulichoandika mwenyewe!!?umeuliza Kama pep au klopp wangepata matokeo Kama aliyopata poch na kikosi Chake...NIMEKUKUMBUSHA KAMA UNAKUMBUKA KIKOSI CHA KLOPP KILICHOCHEZA NA BAYERN FAINALI KILIKUWAJE!!?
Hapo wamechomekea vichwa tu kwenye miili ya wachezaji wengine
Anakutana na wolves LeoVvd Player of the season View attachment 1095136
πππ