AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Those who posted a lot of shits about Lallana in last EPL game now they've learned how to shut their fucking mouth...
Told you Lallana is just finished benchwarmer. Period
Lile boko actually 'assist' ni la Milner..
That aside, Milner ni very fun guy check hii View attachment 1048105
Nzuri sana ktk kurudisha kumbukumbu..,..walijitoa sana kwa klabu na waliupiga mwingi mno
Kiongozi fanya mpango wa zile WallpapersHahahahahahahahaha!
Memories brother, memories, Dah!
It really hurts.
Asante kwa kumkumbusha mkuu, wengine sisi ni wasomaji tu humu, ila tunafuatilia kila kitu pia binafsi napenda mijadala inayoendelea kuhusu timu kwa kiwango cha juu mnoo
Lile boko alilotoa van dyk na alison angelitoa HENDERSON SIJUI KUNGELIPUKAJE HUKU[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr liverpool.. Kwangu ndio kiungo bora kabisa wa kiingereza, mchezaji bora wa kiingereza, jamaa nilikuwa nampend mnoo huyu kiumbe.. Huyu jamaa na rooney pembeni na viwango vyao walikuwa wananikosha mnoo na spirit yao ya upambanaji.