Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Pep alikuta kuna core pale Bayern.... akajazia nyama anazotaka. hata ManCity ilikuwa vivyo hivyo.Depth huwa zinatengenezwa na makocha Gaudiola aliacha depth Bayen sasa hivi ipo?
TBH sijawahi kufuatilia kujua nani ni nani hapa i truly enjoy the company and opinions. So sijui kama kuna mgawanyiko hapa, may be ni juu huwa nakuja na kupotea. Ila pamoja na hivo.. Let's stick togetherBrother whats wrong with you? Is that really you? Unbelievable to see you playing a guitar on a brainless goat
Hongereni halisi mtatumia nguvu ndogo kuvukaWanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nafatlia huku kuhakikisha man city anawachukuaView attachment 1046150
Tuna njaa ya makombe ndo tunayo taka yaletwe hata na hao magalasa tutashangilia.Pep alikuta kuna core pale Bayern.... akajazia nyama anazotaka. hata ManCity ilikuwa vivyo hivyo.
Klopp alikuta magarasa Anfield - ambayo leo ninyi wenyewe hapo hadi mnataka yaumie ili eti yasipangwe. ridiculous mentality!!
baadhi ya fans wa LFC sometimes huwa nashindwa kujua mnachokitaka kwa kweli. I think it's to do with maturity (or lack of one).
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.Thats the nicest draw possible.
We can play Hendo/Lovren/Lallana/Moreno/Migs etc and win with ease.
Dont try to put pressure on yourself. Will be nothing but a statpad session.
A very nice draw.
We couldnt ask for more. Be happy.
get ill prepared vs Porto at your own peril, boss.Yeah man
Wont be needing a lot of preparations for this match
So sidhani kama itaharibu our focus kwenye league.
Plus Ox and Gomez watakuwa fit
a very good and positive draw kwa upande wa league na CL pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kiongozi naona kibao kimegeuka kwako?
Ulikuwa ukitupangia Barcelona usiku na Mchana hatimae kakudondokea wewe.
Sasa mtoe Barca ili tukutane kwenye semi.
Lakini Barca akikutoa basi tutamsubiri yeye kwenye semi halafu aje atuingizie Coutinho aone mziki wetu.
TBH sijawahi kufuatilia kujua nani ni nani hapa i truly enjoy the company and opinions. So sijui kama kuna mgawanyiko hapa, may be ni juu huwa nakuja na kupotea. Ila pamoja na hivo.. Let's stick together
Underlined man.. Won't say no more.No one divided people in different classes here except him who claimed himself to be 'Liverpool Halisi' , No one care though..
All of us in this thread are Liverpool's Fans regardless our different opinions..
The self claimed Liverpool Halisi thinks He is true Liverpool Fans, and others not real.
I believe there are no groups in this thread
All twe are Reds
The so called HALISI is ignored in my list and now can't see his mental disorder
So it's Liverpool vs Barca/Man United in the semis.. View attachment 1046238
Looking at records alone everyone will be hoping for that (Barca), but i think Barca poses more threat than Man United. On the other hand though we better get knocked out by Barca rather than United.Hope we'll get Barca at semi and I'm praying for this to happen.
Nasiku zote usiidharau timu iliyofika hatua hii, mpira unamambo mengi ikiambatana na bahati pia,kumbuka mdharau mwiba!Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi tuliposhinda vs PSG na vs Napoli.... nani alicheza?Tuna njaa ya makombe ndo tunayo taka yaletwe hata na hao magalasa tutashangilia.
Tunaomba yaumie sababu yapo mda mlefu hayaleti ushindi tunashangaa wamekuja wachezaji wa maana hawapangwi asa si bola yaumie tu juzi si umeona mwenyewe tofauti
Ratiba haijaenda mbali na nilichotabiri,wasiwasi wangu tusiwabeze Sana Porto coz nakumbuka hata mwaka Jana gemu ya Roma ilikuwa ngumu kuliko hata ya man city..hizi timu zinazochukuliwa poa huwa zinaingia kwenye mechi zikiwa hazina Cha kupoteza so zinajimwaya Mwaya Sana uwanjani....TUENDELEE KUSHIKAMANA MAMBO MAZURI YAPO MBELE.My prediction for uefa champions league quarter final draw...
LIVERPOOL vs PORTO
MANCITY VS JUVE
BARCELONA VS MAN UNITED
TOTNHAM VS AJAX
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha no si catch feelings bro ila as far i am concerned sidhani kama ni vizuri tukagawanyika kati yetu eti kisa ni opinions tu tumetofautiana. No we should remain a fam regardless of our opinions
Mbona mnakuwa km wanasiasa wa tanzania wa siku hizi??? Mana wao kila anaeonekana kuwa na maoni tofauti watasema huyo katumwa na mabeberu!! This is football men, kila mmoja anatoa mawazo kwa jinsi anavoutazama mpira yeye.Wanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.
Sent using Jamii Forums mobile app