Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
sio tu he paid all th chums to get this boy he was ready to PAY MORE and bring the move forward in 2018 Jan bt RB walikataa...he ws doing so cz he was desperate for creativity in th middle of th park...Cant believe people are defending Klopp for his treatment on Keita.
Paid £50m and waited a year for him, and Kocha anaogopa kumchezesha kwenye his preferred position because “hamuamini”, so why alinunuliwa tena kwa usumbufu wote ule?
You can atleast understand Valverde and Pep for benching Cou and Mahrez respectively, because kuna wachezaji bora zaidi zao kwenye nafasi wanazocheza (tena atleast 2-3 players), but Keita at LFC? Henderson/Lallana/Milner are supposed to be better than him?? How?
People sided with Klopp for benching Faby for Hendo, kwa kisingizio cha “he’s not ready”. So kwa hili suala la Keita i’m not even suprised.
Ha ha haaa hapana unamtetea sana Clopp kumpanga Hendo yani wazi wazi kabsaaa unataka Keita akabe kama hendo na wajuwa wazi ni kiungo wa mbele.huu sasa ugomvi.... hahaha
simtetei mtu lakini pia sipendi watu wasiokuwa objective.Ha ha haaa hapana unamtetea sana Clopp kumpanga Hendo yani wazi wazi kabsaaa unataka Keita akabe kama hendo na wajuwa wazi ni kiungo wa mbele.
Halipingiki kwa kelele za mashabiki Klopp keahampa Faby namba 6 ambayo ndo ya Hendo kwa mapenzi tu analizimisha wawepo wote na kutunyima kiungo wa kushambulia.
Ajabu mwenzetu bado tu unatetea
TUTETEE TEAM NA SIO WATU WANAOPITA KWA MATAMANIO KAMA SISI TU.
Mbona mechi alizo cheza Keita hazina matokeo mabaya ukilinganisha na alizo cheza Hendo.simtetei mtu lakini pia sipendi watu wasiokuwa objective.
chief, don't rest the case. let's keep the argument going.The coach knows better syndrome.
I thought you were truly and better than this.
I rest my case.
kama umenisoma vizuri huko nyuma, simtetei Hendo wala Keita.Mbona mechi alizo cheza Keita hazina matokeo mabaya ukilinganisha na alizo cheza Hendo.
Na je huoni kama tunatengeneza nafasi chache zinapo pangwa namba sita 2 uwanjani?
Ushabiki wapi...hajui mpira huyo.Ni zile people zinazoanza kufuatilia mpira baada ya kufika chuo...halafu wengi wapo Chelsea...Sijui imekuaje huyu ndezi akawa Liverpool
if worse come worse wakatwe pointi..
THE EV LOOOOOOOL
USELESS FOOTBALL CLUB MAN
HAHAHAHAHAHAHAHA
unless they style up wanahali ngumu tuedako...Can't see Spurs finish the race Within the Top Four! Am I wrong?
itakua powa zaidi kesho tutume ujumbe kwao Bavarians tukimfunga Burnley 6 au zaidi...Ndugu zangu bayern kampasua mtu nyumbani kwake goli sita.
Mmejipangaje na genious klopp kuuzima moto wao??
Msiwadharau bayern kwao lolote laweza tokea!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Spurs watakuja kupatia point tatu apo Anfield..Can't see Spurs finish the race Within the Top Four! Am I wrong?
unless they style up wanahali ngumu tuedako...
bt give credit to Southmpton today they were th better side..
Ollachuga katika ubora wake...huyu Spurs hua najipigia ndani nje, Anfied atakufa zaidi ya 4 huyu...